My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Unajua Shida inakujaje"Nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo?" - JPM
maneno haya mujarab kabisa.
watu huku mtaani wanapiga jaramba kumsubiri Bashite atakapokuwa "nobody" ndiposa atajua jina lake halisi kumbe ni Daudi!!
Kumbe ndo maana unamambo ya kingombeMimi ngosha dada! Njoo nikuoe kabisa nikuhamishie Mwanza utoke huko Moshi kwenye moshi mwingii
huyu jamaa japo nilimpa kura 2015...but now naomba isarel mtoa roho afanye yake
Bashite hata fisiemu wengi anawachefua!Unajua Shida inakujaje
Endapo Uongozi hautabadilika ukaendelea kua wa Fisiemu. Trust me watamlinda
Lakini kinyume na hapo Bashite dunia ataiona chungu hii
wala mkuu mimi sio miongoni mwao niko huku nchi za watu nakula upepo tu..KUTUMBULIWA SI MCHEZO LAZIMA UJAE UPEPO
NA UTACHUKULIWA WEWE MAPEMAA HATA 2021 HUTAIONA.
Kwani unataka hadi rais akufunge kamba usiende sehemu kisa Corona?Wanasema watu weusi hawaugui Corona.
Halafu Magu kaachia watu wasali makanisani na misikitini.
Anasema Mungu atatusaidia.
Sent from my typewriter using Tapatalk
PurposelyAsichokijua ni kwamba kwa uzembe uliofanyika wa kucontroll Corona hadi kufikia mwezi wa kumi tutakuwa kama Italy mara nne hivi!
Mlituangusha mwaka ule, japo saizi uko upande sahihi. Hata Kama tume Ni yake sisi tupige kura Yetu ya makusudi, ili wajue hasira za watu.huyu jamaa japo nilimpa kura 2015...but now naomba isarel mtoa roho afanye yake
wala mkuu mimi sio miongoni mwao niko huku nchi za watu nakula upepo tu..
Ila kiukweli hana maono ya kuongoza nchi, Kifo sio tatzo kwangu maana sina impact kwa watz walio wengi Zaidi ya familia yangu,..Ila yeye ni kama anatesa taifa zima ni bora Israel afanye kazi yake taifa lianze upya..
ukweli wa Mungu mie ni sawa na ww kbs ila tunapishana kwenye kumuombea mabaya tuu...kura yangu hataipata 2020 ingawa 2015 aliipata.huyu jamaa japo nilimpa kura 2015...but now naomba isarel mtoa roho afanye yake
Uko sahihi Mkuu, hata katika Imani zetu, ili wengine wapone Kuna watu inabidi Israeli afanye kazi yake, vinginevyo itakuwa taabu mwanzo mwisho.wala mkuu mimi sio miongoni mwao niko huku nchi za watu nakula upepo tu..
Ila kiukweli hana maono ya kuongoza nchi, Kifo sio tatzo kwangu maana sina impact kwa watz walio wengi Zaidi ya familia yangu,..Ila yeye ni kama anatesa taifa zima ni bora Israel afanye kazi yake taifa lianze upya..
kabisa mkuuUko sahihi Mkuu, hata katika Imani zetu, ili wengine wapone Kuna watu inabidi Israeli afanye kazi yake, vinginevyo itakuwa taabu mwanzo mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app