Wale timu majungu kama nawaona km wenuna maana walianza kutoa unabii wao ...sera wameishiwa wamebaki kufanya mambo ya kitoto sanaAmeyasema hayo wakati akipokea ripoti ya TAKUKURU na CAG, amesisitiza wale wanaofikiri atasogeza uchaguzi mbele wanajidanganya.
Wale timu majungu kama nawaona km wenuna maana walianza kutoa unabii wao ...sera wameishiwa wamebaki kufanya mambo ya kitoto sana
sent from HUAWEI
Hatutafika hiyo hatua !! NeverAsichokijua ni kwamba kwa uzembe uliofanyika wa kucontroll Corona hadi kufikia mwezi wa kumi tutakuwa kama Italy mara nne hivi!
Issue ni namna yao iliyozoeleka ya kushinda uchaguzi.amewaweza! kila siku wamekuwa wakitunga eti anaogopa uchaguzi, ivi kweli mtu una kila kitu na una uwezo wa kushinda asilimia 99 unaweza ukaogopa uchaguzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hasingesemaAmeyasema hayo wakati akipokea ripoti ya TAKUKURU na CAG, amesisitiza wale wanaofikiri atasogeza uchaguzi mbele wanajidanganya.
Viongozi kazi yao ni kuongoza.Kwani unataka hadi rais akufunge kamba usiende sehemu kisa Corona?
Wewe ukiamua kukaa ndani na kujifungia usiende kazini,msikitini au kabisa amua tu sio lazima mheshimiwa rais aseme
Wakuongoze hadi ngazi ya familia mkuu?Viongozi kazi yao ni kuongoza.
Au unataka viongozi wasioongoza?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Hiyo ingeleta tafrani,maneno yangekuwa mengi. Mpaka muda wa uchaguzi Corona itakuwa imekwisha na kama ikiwepo kwa kiwango cha sasa tutajua la kufanya.UCHAGUZI LAZIMA UFANYIKE.Sio kwamba angesema kufanyika kwa uchaguzi mkuu kutategemea na hali ya coronavirus kuonesha busara na hekima ya hali ya juu, ikiwemo hekima iliyopo kwenye nembo ya 'uhuru na hekima' ya UDSM?
niko kwenye hiz nchi za coronaUpo baa gani unakunywa?Mzinga wa ngapi wa k-vant umeshafukia?Sio kwa maneno haya ya mtu mwenye akili timamu kuyatamka!!
Suala la tume umeanza kulisikia leo?Viazi vya lumumba mnakwama wapi?Chadema walidhani atasema tunahairisha ili wapate udaku, sasa kasema uchaguzi upo wamehamishia magoli kwenye tume
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa hivyo hivyo hadi kwenye mechi za mpira wa miguu,mikutano ya kisiasa NK!Mtu atakayejisikia aende na asiyejisikia asiende ajifungie ndani,shwain!Kwani unataka hadi rais akufunge kamba usiende sehemu kisa Corona?
Wewe ukiamua kukaa ndani na kujifungia usiende kazini,msikitini au kabisa amua tu sio lazima mheshimiwa rais aseme
Nani wakumwachia nchi toka upinzani? Mbowe? Unataka Hazina yetu itoweke kabisa then akimbilie Marekani? Si unaona hata watoto wake majina yao ya Kimarekani.Mungu ampe ufahamu wa kujua kuwa amefeli na ameharibu nchi hivyo 2020 ampishe mwenye uwezo kwenye hiyo office
Kwaiyo hadi majukumu na maamuzi yako ya ngazi familia unataka maelekezo ya rais?Ingekuwa hivyo hivyo hadi kwenye mechi za mpira wa miguu,mikutano ya kisiasa NK!Mtu atakayejisikia aende na asiyejisikia asiende ajifungie ndani,shwain!