You will be coward ukifikiri kuwa hatapata kipindi cha pili. Piga ua anamaliza 2025 unless kifo tu
Kama ningekuwa nipo nchini ningeungana na nyinyi
Halafu wazee wakipata Corona wanaondoka fasta sana? Hivi Meko ana miaka mingapi rafiki?
Mungu anisamehe, natamani ikifikia hiyo hatua wana CCM wengi waondoke na Corona ndo usalama wa Taifa la Tanzania utapatikanaAsichokijua ni kwamba kwa uzembe uliofanyika wa kucontroll Corona hadi kufikia mwezi wa kumi tutakuwa kama Italy mara nne hivi!
Ni kweli Mungu yupo, lakini ana formula zake, hawezi kukusaidia kwa tatizo ambalo unajua kanuni za kuliepuka.Wanasema watu weusi hawaugui Corona.
Halafu Magu kaachia watu wasali makanisani na misikitini.
Anasema Mungu atatusaidia.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Wewe si tayari utaondoka karibuni kwa kula kisusiyo.Mungu anisamehe, natamani ikifikia hiyo hatua wana CCM wengi waondoke na Corona ndo usalama wa Taifa la Tanzania utapatikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kushinda ni kushinda whether kihalali au kimbinu yote iwe lazima narudia lazima JPM afike 2025Hakuna mwenye tatizo na yeye kumaliza kipindi chake, tunataka tume huru ili ashinde kihalali.
Sitaki kuamini, nataka kujua.Nimeelewa ndio maana tusilaumu na tuamini serikali maana inachukua maamuzi hatua kwa hatua.
Kwa nchi masikini kama yetu tukifanya maamuzi ya kukurupuka uchumi unaweza kudorora kisa mataifa makubwa ki uchumi yamefanya tutaumbuka uko mbele ya safari
Miaka yangu Duniani ni 120 na sasa bado nina 37 tu.Wewe si tayari utaondoka karibuni kwa kula kisusiyo.
Thibitisha mungu yupo na kwamba habari za kuwapo kwake si hadithi za watu tu.Ni kweli Mungu yupo, lakini ana formula zake, hawezi kukusaidia kwa tatizo ambalo unajua kanuni za kuliepuka.
Magufuli atawamaliza watanzania ndo watajua kuwa in 2015 Tanzania fell upon the hands of the Devil
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamkosagi Cha kusema!!!!Sio kwamba angesema kufanyika kwa uchaguzi mkuu kutategemea na hali ya coronavirus kuonesha busara na hekima ya hali ya juu, ikiwemo hekima iliyopo kwenye nembo ya 'uhuru na hekima' ya UDSM?
Ile issue ya Burigi ambayo ulisema unaipeleka UN umeshaipeleka? Tangu Decemba hatuoni mrejesho au ulikuwa unawadanganya wanasaccos wenzako wa Saccos ya Chadema?Miaka yangu Duniani ni 120 na sasa bado nina 37 tu.
CCM ni Virus kwa hiyo lazima iangamie na kutoweka kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhai wa watu ni muhimu kuliko Katiba, kama kutakua na mlipuko mkubwa wa huu ugonjwa wa korona sidhani Kama tutakubali tufe kwaajili ya ugonjwa ili tu uchaguzi ufanyike.Hata asipoongea uchaguzi ni takwa la katiba wala sio matakwa yake so aongee asioongee tarehe 25 october ipo kikatiba.
Sababu za kupeleka huko ni nini? tuna uchaguzi october, 2020, tuna chaguzi za marudio hapo katikati ya 2020-2025, tuna uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.Tume huru 2025 na katiba mpya
Ukitaka nikuthibitishie uwepo wa Mungu, utakufa huku bado unayapenda maishaThibitisha mungu yupo na kwamba habari za kuwapo kwake si hadithi za watu tu.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Hata tume ya sasa hivi ipo huru maana inatakiwa ifanye kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na kufuata sheria. Soma ibara ya 74(7) ya katiba ya JMT.Nauliza Mchakato wa Tume huru ya uchaguzi vipi ??
UN wanapokea malalamiko yenu mengi sana, wanasubiri Magufuli afanye mass killing kwenye maandamano baada ya uchaguzi mkuu wa 2020,apigwe pingu Kama Bashir wa Sudan.Ile issue ya Burigi ambayo ulisema unaipeleka UN umeshaipeleka? Tangu Decemba hatuoni mrejesho au ulikuwa unawadanganya wanasaccos wenzako wa Saccos ya Chadema?
Wewe ni mtaalamu wa uchumi?Sitaki kuamini, nataka kujua.
Wewe unaelewa kwamba watu wakifa kwa mafungu kutokana na ugonjwa huu, huo uchumi unaoufikiria kuutetea hautakuwapo?
Sent from my typewriter using Tapatalk