Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Uchaguzi utafanyika, wapo wanaofikiri kwamba tutaahirisha. Nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo?

Mimi nimeshaacha kumsikiliza, msichoke kutupia humu JF.
 
Wadau ukiangalia mahangaiko yanayoendelea ya kubadilisha sheria na kuhujumu cdm. Je kuna uchaguzi kweli au ni kutimiza ratiba maana ninachoona mtaani ni sherehe kwamba mwaka huu ccm itashinda kwa kishindo na shangwe kuu ni pale rais alipoisulubisha cdm kwa kutuia dola

Novemba baada ya uchaguzi tutashuhudia mengi sana ila mimi ninapendelea wangeweka picha ya rais na kivuli ingependeza
 
Chadema kilishakufa acha propaganda za kipuuzi
 
Kuna mtu ana hasira ya kushindwa kuua upinzani, hivyo mwacheni ajifriji kwa maigizo haya.
 
Kuna mtu ana hasira ya kushindwa kuua upinzani, hivyo mwacheni ajifriji kwa maigizo haya.
kabisa na anashindwa kuelewa upinzani siyo chama ni watu na uko damini mtu anaweza chukua kadi ya ccm na akabaki upinzani na mwishowe akawadhuru vizuri ngoja wajifariji
 
CCM wameingia uwoga toka UKAWA iwakalishe 2015 November Zanzibar na Bara.
 
wana mawenge ya mwaka 2015 kilichotokea hawaamini
 
Asichokijua ni kwamba kwa uzembe uliofanyika wa kucontroll Corona hadi kufikia mwezi wa kumi tutakuwa kama Italy mara nne hivi!
Vipi familia yako nasikia imeteketea yote kwa corona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…