Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

Mtu yeyote narudia tena mtu yeyote atakayegoma kukabidhi anachopaswa kukabidhi na akakaidi utararatibu halali tutampiga na tutamburuza na kumtoa pale anapong'ang'ania na virago vyake tutamrushia huko huko nje
 
Magufuli kushinda hilo lipo wazi kabisa kwa kazi njema aliyoifanya hadi vipofu wameiona.
Hizo ndizo ramli zenyewe kwani kafanya nini kwny nchi hii ambayo watangulizi wake hawakuwahi kufanya???
Kama anajiamini amefanya mazuri ambayo kula mtanzania anaona aweke mpira uwanjani hafu aone kitakachomtokea
 
Kwa hulka yake alivyo hatokubali kuachia madaraka , lakini atake asitake tutamlazimisha na ataachia apende asipende yeye na vibaraka wake .
 
Ila akiachia kwa hiari Mambo mengine kupitia maridhiano ya kitaifa yanaweza kwenda sawa shida ni pale tu kashindwa alafu awe king'ang'anizi ,akitolewa kwa nguvu anakua amearibu pakubwa,na heshima yake kushuka zaidi,
Alieshindwa na akaachia kirahisi kunakua Kuna pa kuanzia katika maridhiano ya kitaifa
 
Ikulu mkuu ni ya watanzania, mbona huwa wakati mwingine hua munajisahau Sana,mfano utamsikia mtu anasema eti hata msipotupiga kura tutaunda serikali ,yahani wananchi wakukatae alafu iyo serikali unaiunda au unamuundia Nani ?
 
Tutamtimua kwa nguvu kama atajifanya kung'ang'ania! Atakuwa mfano katika hii Afrika Mashariki
 
Je, kuna sheria inayomtaka atoe tamko hilo?

Kumbuka: Magufuli sio Lissu
 
NI Bora tu aendelee hata miaka 20

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hizo ndizo ramli zenyewe kwani kafanya nini kwny nchi hii ambayo watangulizi wake hawakuwahi kufanya???
Kama anajiamini amefanya mazuri ambayo kula mtanzania anaona aweke mpira uwanjani hafu aone kitakachomtokea
Comrade huko kujitoa ufahamu ndo kunawatesa na mtaweweseka sana endelea kujitia upofu kuwa Magufuli hajafanya kitu.
 
Tuna taasisi dhaifu sana ambazo hazina ubavu wa kumfuata Ikulu sitting president na kumuamuru aondoke Ikulu

NEC yenyewe kabla ya kutangaza matokeo bila shaka wataomba ruhusa kutoka TISS. Doomed!
Hiyo Taasisi yako imara miaka yote hii ipo wapi? Mweneyekiti wa kudumu yupo chama gani kile? Siye huyu anayewaleta wahanga kuwa wapambanaji wa kugombea uhuru? Je, huko kuna demokrasia mnayoipigia kelele? Wacha-neni na mbwembwe za kitoto.
 
Hata mimi simshauri akubali matokeo akishindwa....
Japo namchukia na chama chake
 
Harafu utashangaa pole pole ndo anajitokeza kuja majibu ya ajabu ajabu.
 
Comrade huko kujitoa ufahamu ndo kunawatesa na mtaweweseka sana endelea kujitia upofu kuwa Magufuli hajafanya kitu.
Mimi siishi DSM pengine hata hayo maflyover unayoyasemea sijawai yaona zaid ya kwenye Picha emb assume unaongea na mpiga kura alieoko Kijiji cha nyamwaga wilaya ya tarime hicho kikubwa kilichofanywa na magufuli ambayo hayakufanywa na watangulizi wake
 
Mungu amesikia kilio chenu
 
Alishindwa uchaguzi October 2020 lakini alichelewesha kukabidhi nchi kwa zaidi ya miezi 4 .
Lakini mwishowe alikabidhi nchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…