Rais Magufuli ulimtumbua upesi aliyechana Quran, mbona unachelewa Kumtumbua Jerry Muro aliyewadharau Waislamu?

Mzukulu, Wewe hujatawadha eeh

Sijui mtaacha lini kulialia enyi wanawake wa kiislam

Amakweli, elimu imewashinda mnachoweza ni kutawadha na kufundisha Madrasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ptuuuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kunguni mwanamke wa kiislam usituletee umbea wa vikoba vya kinamama



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzukulu,
acha roho mbaya KUFUNDISHA MADRA SA NI KASHFAA....? alichosmea MURO ni kuwa ktk elimu yeye MANARA ALICHOMPITA NI ELIMU YA DINI YA KIISLAMU . sasa atumbuliwe kwa lipi...? unamfananishaje na mtu aliyeichana QURQN acha chuki
 
mtoa mada huoni aibu huu uzi wako wa kipumbavu? kwani haji hanamaarifa ya dini ya kiislam? hastahili kufundisha wenzie?
 
[emoji3][emoji3]umepata bwana huko usisingizie vitu visivyo kuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unataka kusoma Albadili?? Kwani ww una Majini mangapi mkuu??
 

Acha unafiki, wewe ni mujahidina bana
 
Kweli Waislamu washari kweli kweli. Hayo ndiyo ya kumuandikia waraka mrefuuuuuu mh Rais?.

Hizo ndizo changamoto za dini. Ni muhimu kuvumiliana.
 

Mpuuzi kabisa wewe, hama Ukristo hata sasa hivi, hatuhitaji kuwa na Jitu lichochezi kama wewe
 
Acha ku complicate, hakuna tusi lolote,jery nae hakua mjinga kiasi hicho awatukane waislam, wafadhili wenyewe WA yanga ni waislam, huyo mara wenu ndio ameingiza udini kwenye Hilo. Isitoshe wote tunafahamu maneno ya vijembe wanavyopigana Kati ya jery na Manara,au kuna ukweli kwamba Hana elimu zaidi ya Madrasa, sijaona tusi,Hilo ni Jambo la Manara na Jery, asitake kushirikisha jamii nzima.
 
Nakama walimu wamadrasa elimu yao haina maana nawaislamu sote hatuna maana kwakuwa hakuna muislam yeyote duniani ambae hakupitia madrasa,,allahuakball"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea vema mkuu,huyu Manara pumbavu kabisa.
 
Usitafute sababu, hama tu Kiongozi. Upo huru kuhama.
 
Kuambiwa elimu kubwa alonayo ni ya kufundisha madrasa arudi akafundishe madrasa ni tusi? Kwani mtu akiambiwa achana na siasa rudi kwenye uchungaji ni tusi? Halafu anahamasisha waislamu nchi nzima waungane kwa udhalilishaji huo.Manara kweli kichwani kuko empty na Jerry Muro ndo huwa saizi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzukulu,
Kwa hiyo kumbe wanaofundishi madrasa ni wa kudhauriwa,mimi nilidhani ni wa kuheshimiwa sawa na waalimu wa chekechea au kipa imara sababu ndio wanaoweka msingi imara wa mafunzo kwa watoto wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…