Rais Magufuli ulimtumbua upesi aliyechana Quran, mbona unachelewa Kumtumbua Jerry Muro aliyewadharau Waislamu?

We mtoa mada unaminyoo!! utani kidogo unakimbilia MTU kutumbuliwa acha ujinga hata hivyo walimu wengi wa madrasa wako shallow kidunia ndomana una panic kindezi! Fanya kazi,kula vizuri,lala pazuri na mbeibe mkali akili itakukaa sawa,pole chalii
 
Mhhhh.... What a shame!!
 
PUMBAVU zako,Manara hana hakiri,wasio na akili ndo wanafundishaga madrasa
 
Blah blah blah...hii ni proof positive jinsi akili za madrassah zilivyo duni. Hamna mantiki wala hoja hapa zaidi ya utumbo wa nguruwe. Mnakariri na kurudia rudia maneno kwa lugha ambayo hamuielewi.
 
Nenda mwenyewe Central Police utakuta maelekezo yako pale.
 
Wafanye hivyo ili iwe funzo kwa wengine kama yeye.
Sio kumpa mzigo Magufuli.
 
Mchawi kabisa wewe. Mchonganishi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatumbuliwi ng'o! Acha kudekadeka kwa kisingizio cha uislam. Pumbavu!
 

Tunajua wachezaji wa Uongereza lakini Tanzania wanajulikana wasemaji😂
 
Kwahiyo nikimsema Muro kuwa usemaji wa timu hauwezi abaki na kazi yake ya U DC nitakua nimeudharau u DC? Ndiyo maana mtoto wangu sikutaka asome tu madrasa aenda mpaka chuo kikuu kuepuka na ujinga kama huu uliouandika
 
Huyo ndiyo Haji Manara

In God we Trust
 
We ndio fala kweli yaani unataka Rais aache kazi za kuendeleza Taifa akusikilize wewe poyoyo na uyo mchonga domo mwenzako punguani kabisa rudi uko madrasa ukakrem tena kikureshia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…