Rais Magufuli, ulipotaja kuwa umezalisha ajira milioni 6 huoni kuwa unanidanganya hata mimi?

Rais Magufuli, ulipotaja kuwa umezalisha ajira milioni 6 huoni kuwa unanidanganya hata mimi?

Sisi na viwanda wapi na wapi?Tulivyokuwa navyo vilienda wapi awali?Kama hatujatafuta vilipoenda Kilimanjaro Machine Tools,Mang'ula,Mgololo Paper Mills,UFI,ZZK nk hatuwezi kuwa nchi ya viwanda.
CCM iache usanii,hata hiyo Sera hawaiamini wakati ndiyo iliyokuwa main agenda.Wamebadilisha na kuwa nchi ya Bombardier, Boeings,SGR,Stigler,Flyovers, madaraja,barabara kabla hatujakamilisha main agendas ambazo hizi mpya zingefuatia kama outcome ya kuimarika uchumi.
Kuna mwenye Ilani yao tuone kama siyo copy&paste ya 2015/2020.Wanatwist versions ila hawatakuwa na jipya,ni usanii.Wapi 50mil za kila Kijiji?
Unafiki wa CCM ndio kikwazo kikuu cha kuzorota ustawishaji wa viwanda.CCM imekosa muelekeo ni maneno ya kiona mbali Horace Kolimba aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CCM.
 
Back
Top Bottom