Rais Magufuli: Upinzani wa sasa umebadilika

Ila wanavyowanyanyasa wapinzani kwa uonevu, kuwabambikia kesi, kuwahujumu, kuwapiga, kuwadhulumu na wengine 'kupotea' kunafanana kabisa na ule uovu waliofanyiwa mashahidi wa imani ktk vitabu vitakatifu. anyway, Mola hulipa uovu kwa uovu na upanga juu ya upanga.
 
Yani hapo mmeshafarijika na mta relax tu, badala ya kufuatilia kuna jambo gani nyuma ya pazia kuhusu mkutano huo IKULU! 🤔
 
Ukweli wa Moyo hutamkwa bila hadhari.. Hutamkwa bila kujipanga... Hutamkwa bila taraji... Na mtamkaji daima huwa hana uwezo wa kuyarudisha kinywani yale aliyokwishatamka
Jr[emoji769]
 
Hajaitaja Chadema bwashee.

Kikwazo cha CCM kwa sasa ni ACT wazalendo Zanzibar.......huku bara upinzani umeshazikwa ndio maana serikali nzima ilihamia Zanzibar nyakati za sherehe za mapinduzi ili kuweka mambo sawa.
Ilihamia Mwanza kutoka na hofu
 
Bwashee hutumia zaidi na mashoga, wewe nani alikuharibu? na alikuharibu ukiwa na miaka mingapi? bado yupo hai? je wewe unaendelea na hako kamchezo au umeacha?
Wachagga na ushoga wapi na wapi bwashee?!

Kwahiyo hapo Ufipa ni dangurooo!
 
hapo ametufunga miguu, mikono na midomo kwa miaka minne sasa akitufungulia ila kiukweli mwakani rais ni Lisu..
 
Fahamu huyu anaandika chochote ili mkono uende kinywani
 
Wale wanaohama vyama malengo yao niya masilahi zaidi wasitegemee uchaguzi unaokuja watatoboa kupitia kura za debe wananchi watajali zaidi wagombea watakao watetea sio hao wanaojali zaidi matumbo yao.
Umenena ukweli mtupu
 
CCM ilishakufaga kitambo sana, aletete tume huru ya uchaguzi athibitishiwe kuwa hata yeye akubaliki, haya mengine ni kelele za alieshiba kupunguza gesi tumboni.
 
Wameanza lini kumbia? Muda mrefu sana

1. Kila wakati chama kinaimarika zaidi

2. Wapo waliosema 2020 hakifi, kimefika tena kwa tija.

Kumbia sio hoja,
Hoja ni jee kinaimarika? Kinapanuka na kutamalaki?
Mkutano Mkuu wa CDM mwaka jana umeacha kitisho kikubwa CCM
 
Kidumu Chama cha Mapinduzi

Kule Znz kuleee, inahitajika umakini Mkubwa sana kulinda Mapinduzi ya 1964, Tukifanya Mchezo au masihara yatanajisiwa maana jamaa safari hii Wako kimya sana mwaka huu wa Uchaguzi na hii si kawaida yao

Kuna harufu ya Usaliti visiwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…