Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,277
Uzuri Mwenyekiti wako anaelewa nguvu ya Chadema...Molemo,
Chadema hii hii iliyokimbiwa na madiwani wake juzi pale Arusha na kuhamia CCM?!!!
ACT wazalendo walau wana umakini kidogo!
Ataikunja sana kuanzia mwishoni mwa mwaka ACT kitakapokuwa chama kikuu rasmi cha upinzani. 😁😁😁Ukitamka neno ACT mwandishi Yerecko anakunja sura.
Bwashee una uhakika Chadema inapendwa?!Uzuri Mwenyekiti wako anaelewa nguvu ya Chadema...
Ameua
Amepiga risasi wabunge kwa lengo la kuua
Ameteka
Ametesa
Amenunua wabunge
Amenunua madiwani
Amevuruga chaguzi
LAKINI CHADEMA IKO VILEVILE, INTACT, NA INAZIDI KUPENDWA NA KUPENDEZA
Kakojoe Ulale Shehe wangu!
Hujitambui tu
Kwani hapo Ufipa kuna duka la madiwani na wabunge?!Siyo iliyokimbiwa na madiwani wake bali sema chadema iliyopoteza madiwani wake na wabunge kwa kununuliwa na serikali.
Acha blah blahKwani hapo Ufipa kuna duka la madiwani na wabunge?!
Mwenyekiti wa CCM na Rais John Magufuli amekionya chama chake kisibweteke kwani upinzani wa sasa unatisha kutokana na mikakati yake
Akiwahitubia viongozi wa wilaya na mikoa kote nchini jijini DSM hapo jana Rais amesema wapinzani wa leo wamebadilika na wana mikakati ya hadharani na ya siri katika mapambano ya kutwaa madaraka
Ingawa Rais hakutaja chama chochote kwa jina lakini ni hivi karibuni chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kilifanya mkutano mkuu wake uliovunja rekodi kwa jinsi ulivyopangiliwa vyema na hatimaye ikagundulika kwamba kwa sasa chama hicho kina wanachama wenye kadi milioni 6 na nusu kutokana na operesheni yake ya Chadema ni Msingi iliyofanyika nchini kote kimyakimya kwa miaka miwili.
View attachment 1333871View attachment 1333872View attachment 1333873
hii hii ambayo ikifanya hata mikutano ya ndani polisi wanavamiaMolemo,
Chadema hii hii iliyokimbiwa na madiwani wake juzi pale Arusha na kuhamia CCM?!!!
ACT wazalendo walau wana umakini kidogo!
Ziara ya Lissu Ulaya na marekani plus mabalozi waliokaa juzi kea pamoja wameanza kuonesha impact.Mwenyekiti wa CCM na Rais John Magufuli amekionya chama chake kisibweteke kwani upinzani wa sasa unatisha kutokana na mikakati yake
Akiwahitubia viongozi wa wilaya na mikoa kote nchini jijini DSM hapo jana Rais amesema wapinzani wa leo wamebadilika na wana mikakati ya hadharani na ya siri katika mapambano ya kutwaa madaraka
Ingawa Rais hakutaja chama chochote kwa jina lakini ni hivi karibuni chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kilifanya mkutano mkuu wake uliovunja rekodi kwa jinsi ulivyopangiliwa vyema na hatimaye ikagundulika kwamba kwa sasa chama hicho kina wanachama wenye kadi milioni 6 na nusu kutokana na operesheni yake ya Chadema ni Msingi iliyofanyika nchini kote kimyakimya kwa miaka miwili.
View attachment 1333871View attachment 1333872View attachment 1333873
Magufuli hofu yakr dhidi ya chadema haijaanza leo. Ni mtu pekee amewez ku-organize vyombo vy ulinzi na usalama kwa gharma kubwa kuhakikisha chadema inapotea lakini hata hivyo anazidi kuona maajabu invyochanua kama maua ya mvua za vuliHujitambui tu
Pole sana.Unatia huruma.No evidence no right to speakUjinga mtupu ,unaukuza upinzani kwa lazima?,eti kura million 6,pathetic
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi tuwe tunafikiria vizuri. Upinzani sio viongozi ni fikra. Magu anajua alishinda kwa 58% kuna wapinzani wengi sana Tanzania na kipimo ni watu sio viongozi. Moyoni na fikra za watu ndiyo muhimu kuliko ubunge wala udiwani. Sudan, Egypt kote huko hawajaondolewa na chama bali watu. Lazima ujue Magu anaongelea nini sio viongozi au hata vyama anaongelea watu.Molemo,
Chadema hii hii iliyokimbiwa na madiwani wake juzi pale Arusha na kuhamia CCM?!!!
ACT wazalendo walau wana umakini kidogo!
Nakwambia hiviiiii.....mwulize Mwenyekiti wako hayo maswali, he knows how we keep him wetting his pants, pamoja na mauaji yote anayofanya!Bwashee una uhakika Chadema inapendwa?!
Mkuu kwa kauli hii ameona mbali na nikuunganisha kauli ya no hate no fear napata jibu Ccm mkimchanganya Mwenyekiti wenu anaweza Fanya mahamuzi magum na 2020 akagombea kupitia vyama mbadala na hapo ndo Ccm inaweza kufa ndani ya sekunde kabla ya dakika mkikataa sawa ila tunza kumbukumbu na endeleeni kumvuluga moto utawakaMwenyekiti wa CCM na Rais John Magufuli amekionya chama chake kisibweteke kwani upinzani wa sasa unatisha kutokana na mikakati yake
Akiwahitubia viongozi wa wilaya na mikoa kote nchini jijini DSM hapo jana Rais amesema wapinzani wa leo wamebadilika na wana mikakati ya hadharani na ya siri katika mapambano ya kutwaa madaraka
Ingawa Rais hakutaja chama chochote kwa jina lakini ni hivi karibuni chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kilifanya mkutano mkuu wake uliovunja rekodi kwa jinsi ulivyopangiliwa vyema na hatimaye ikagundulika kwamba kwa sasa chama hicho kina wanachama wenye kadi milioni 6 na nusu kutokana na operesheni yake ya Chadema ni Msingi iliyofanyika nchini kote kimyakimya kwa miaka miwili.
View attachment 1333871View attachment 1333872View attachment 1333873
Tulishaonya mapema sana , huyu kumng'oa jukwaani kunahitaji siku 14 tu , aondoe polisi kwenye viwanja vya mikutano aone moto .Mwenyekiti wa CCM na Rais John Magufuli amekionya chama chake kisibweteke kwani upinzani wa sasa unatisha kutokana na mikakati yake