kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,360 Reaction score 13,465 Jan 25, 2020 #61 johnthebaptist said: Molemo, Chadema hii hii iliyokimbiwa na madiwani wake juzi pale Arusha na kuhamia CCM?!!! ACT wazalendo walau wana umakini kidogo! Click to expand... Muogope sana mtu asiyekata tamaa, huwa anabuni mbinu kila uchwao na mara nyingi huwa ana piga mapigo ya chini kwa chini, ulishawahi kufikilia wapinzani bila kupigwa kolabo serikali na CCM CDM ingekuwaje?
johnthebaptist said: Molemo, Chadema hii hii iliyokimbiwa na madiwani wake juzi pale Arusha na kuhamia CCM?!!! ACT wazalendo walau wana umakini kidogo! Click to expand... Muogope sana mtu asiyekata tamaa, huwa anabuni mbinu kila uchwao na mara nyingi huwa ana piga mapigo ya chini kwa chini, ulishawahi kufikilia wapinzani bila kupigwa kolabo serikali na CCM CDM ingekuwaje?