Rais Magufuli upo wapi? Waajiri wako tunataka kujua upo wapi? Viongozi wenzako wa EAC/SADC na marafiki wanakutafuta mbona hujitokezi?

Rais Magufuli upo wapi? Waajiri wako tunataka kujua upo wapi? Viongozi wenzako wa EAC/SADC na marafiki wanakutafuta mbona hujitokezi?

field marshall1

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2017
Posts
2,061
Reaction score
4,686
Naandika hili andiko nikitumia haki yangu ya kikatiba kutaka kujua rais Magufuli yupo wapi...Tuna haki ya kujua maana hatujui aliko na kwenye Ikulu zote mbili hajaonekana kwa zaidi ya mwezi na huu ni mwezi wa pili sasa. Tumesikia amekataa kuhudhuria mkutano wa SADC kwa Webinar na mkutano wa EAC kujadili CORONA imeonekana hataki kujihusisha....Rais nia yako ni nini?

Leo rafiki yake mkuu Raila Odinga ameonekana kwenye Television akisema amemtafuta kwa simu na kumwachia message hajibu.....Inatisha sana kuona hataki kuongea na Taifa hasa kwenye mapambano haya ya CORONA (Viongozi wote wanakuwa kwenye podiun wakijadili au wakiongea na Press kuhusu mikakati ya kuzuia na kuutokomeza ugonjwa wa CORONA, Yeye haeleweki yupo wapi na strategies zipi anatumia ili tuwe salama)

Tumeona kwenye magazeti mipaka inafungwa na baadhi ya nchi majirani zetu, tunaona magari na madereva wetu wanakatazwa kuingia karibu nchi zote jirani, tumesikia pia madereva wetu wengi wanaopimwa hizi nchi wamepatikana na ugonjwa wa CORONA!!!

Rais Magufuli una nia gani na Taifa hili? Weka wazi nia yako ili watanzania tujue kuwa DIRECTION GANI.

Mheshimiwa rais, katika kipindi hiki tungependa kusikia strategies zipi zinatumika ili wananchi wetu wasipotee.


Kama mwananchi wa kawaida ni haki yangu kujua alipo rais na ana nia gani na nchi yetu....
 
Endelea kuhoji hoji utaambulia jibu kama hili

 
Hujui nipo kwenye likizo na kwasasa nipo kwenye dozi ya nyungu!
Na bado kuna nyungu 50 kama dozi nimebakiza!,na kwa taarifa yako nipo chato with my family tunapiga nyungu
Ntakutumia picha subiri kidogo

Loading...
 
Atakuwa kuwashukuru Watanzania kwa is Hindi was kishindo baada ya uchaguzi.
 
Hujui nipo kwenye likizo na kwasasa nipo kwenye dozi ya nyungu!
Na bado kuna nyungu 50 kama dozi nimebakiza!,na kwa taarifa yako nipo chato with my family tunapiga nyungu
Ntakutumia picha subiri kidogo

Loading...
Hiyo likizo ni endless?
 
Pambana na hali yako kijana, unatakaa magufuli aje akulishe chakula, au unatake aje mlale wote chumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mbwa mshenzi, Pamoja na kwamba mama yako ni muuza kilabu cha mataputapu kilabuni na wewe alikupata kilabuni ndiyo maana unafikiria kwa kutumia kisogo. Mshenzi na mbwa usiye na akili.
 
Nashauri Mama Samia Saluhu atuongozee nchi kipindi hiki cha mpito.

Magufuli amethibitisha kuwa alipaswa kusimamiwa na sio msimamizi.
 
Nashangaa mzalendo gani anakimbia ofisini anaogopa kaugonjwa kadogo tuu. Uzalendo ni kuwa tayari kufa kwajili ya nchi yako sasa jamaa limekimbia mbio halafu linaeleza watu wachape kazi lenyewe lipo Mapangoni. Huu ndio Uzalendo anao jisifiaga kuwa nao? Anaacha watu wanakufa lenyewe mbio kusiko julikana. Marais wenzie Dunia nzima wapo ofisini wanapambana kuokoa raia wao. Waziri mkuu wa Uingereza aliugua akalazwa hospital, ametoka yupo ofisini lenyewe limekimbia ofisini na kutuacha Watanzania kama Kondoo wasio na Mchungaji. Huu ndio ulikuwa wakati yeye atuoneshe Uzalendo wake akae ofisini aongoze mapambano. Awe tayari kufa na sisi raia wake ktk kile anacho kiamini kuwa kaugonjwa haka ni kadogoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom