Rais Magufuli upo wapi? Waajiri wako tunataka kujua upo wapi? Viongozi wenzako wa EAC/SADC na marafiki wanakutafuta mbona hujitokezi?

Sio kwamba nakubaliana na Magufuli lakini tuone hizi nchi zinazotuzunguka na hatua walizozifanya kama zimewasaidia
  • Uganda wamejifungia ndani - lakini mwisho wametoka
  • Kenya wanaendelea na shughuli zao lakini usiku ndani- inawezekana wanaendelea vizuri kwakuwa maambukizi yameshuka
  • Rwanda wamejifungia ndani- ila hali za wananchi ni mbaya wanalalamika
  • Burundi wako kimya- wanafanya wanachoweza
  • Tanzania wanaendelea na maisha kama kawaida - nanga inapaa kwa hiyo mapendekezo yetu mnafikiri tufanye nini?
  • kitu kimoja nakiona changamoto ni jinsi gani tunaweza kuwa na data sahihi kwa wagonjwa wanaokufa na jinsi tunavyokwenda itafika wakati wagonjwa wa korona hawatakuwepo kwa kuwa ikijulikana utazikwa na serikali.
  • lililomuhimu chukua hatua binafsi katika kujilinda na corona kwa kuwa hauna dawa na pia tuwalinde binti zetu na ikitokea wakapata MIMBA tusiwatoe kwakuwa wenyewe walishatoa nyingi inawezekana ikawa wewe ndio unamalizia mjukuu wako wa mwisho.
kinachotusumbua ni kuendelea kuona kuwa jambo zuri lazima lifanywe na waliotutawala na kingine watanzania tumekuwa watu wa kutazama ubaya kwetu kama hatuna vizuri.
 
Kusema kweli.hatuna rais

Ukiwa wew ndio baba mwenye nyumba akatokea mwizi kuja kudhuru familia yako na wewe baba ukajificha uvunguni jua wewe ni boya sio baba
dogo jipe kazi,sio matatizo. sawa??
 
Dah!...Yupo Chato anaongoza mapambano ya Corona kutokea huko. (Kumbuka Chato pia ni Tanzania).
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…