Rais Magufuli:Usikubali Ushabiki wa Maria(TFF) kwa Simba, kukufanya ajabu.

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,369
Habari zenu!
Iwapo Rais Magufuli atakwenda kuwapa kombe Simba la Ubingwa 2018, tukio hili litakuwa ajabu ya dunia ama tunaweza kuita kituko cha karne katika soka.

Sisi wadau wa soka tunajua Karia ni mshabiki wa wazi wa Simba, tumshauri tu apunguze mahaba, sijawahi kusikia Rais kuenda kutoa kombe la ligi ya ndani.Kama sio dharau kwa Rais ni nini hii?.

Analeta habari za kuhalalisha eti nao Serengeti boys nao watamkabidhi kombe, upuuzi mtupu. Nilifikiiri wamemtumia Rais taarifa ya kwanini wachezaji wengi wa Taifa stars wanachaguliwa zaidi kutoka timu za Dar, pia wamueleze FIFA imetuma shiling ngapi kuwaajili ya Youth soccer, na kwanini ligi daraja la kwanza haina udhamini,ili awape hata ushauri wa namna ya kufanya.sio haya masinema.

Mimi naamini mngetaka kumualika Rais mgetafuta mechi ya taifa stars ili aone fedheha yetu. Siamini kama Rais atawaitikia ,haya mambo yenu ya kujipendekeza na kutafuta kiki.
 
... kwanini wachezaji wengi wa Taifa stars wanachaguliwa zaidi kutoka timu za Dar, ...
Hii sio hoja. Wachezaji wanachaguliwa kulingana na mtazamo au falsafa ya kocha wa timu ya taifa, na wala si kutokana na maeneo zilipo timu zao. Bahati nzuri siku hizi karibu kila timu ya ligi kuu nchini inaonyeshwa mara kadhaa katika TV stations especially Azam TV, so hata kumfuatilia mchezaji ni rahisi.

Hayo mengine pia ni povu tu
 
Kwa hivyo mchezaji ambae hachezi ligi kuu inayooneshwa hawez kuwa timu ya taifa?, na hao mnaowafuatilia kupitia Azam TV,kwa miaka yote hii wameliletea nini taifa.
 
Kwa hivyo mchezaji ambae hachezi ligi kuu inayooneshwa hawez kuwa timu ya taifa?, na hao mnaowafuatilia kupitia Azam TV,kwa miaka yote hii wameliletea nini taifa.
Soka ni mchezo unaochezwa hadharani, mwenye uwezo ataonekana tu popote alipo. Hiyo Azam TV niliyosema inarahisisha kazi ya ufuatiliaji, lakini hata akina Banda na Samata wanafuatiliwa tu rekodi zao kutoka huko huko waliko. Sasa kama hachezi ligi kuu lakini ana kiwango kikubwa cha kusakata kabumbu, huyo hachukui muda anasajiliwa fasta ligi kuu na akistahili atacheza National Team. Kwani akina Kaseja waliibuka tu? Walicheza mashuleni, Kipingu akawaona, akawavuta Makongo, haikuchukua muda wakasajiliwa Ligi Kuu (Moro Utd), ndio Simba na baadaye Taifa Star
 
Njaa imehama tumboni sasa ipo kichwani hata akili za kuvukia barabara hamna, aya basi kajinyongeni nyie wala mihogo fc. Simba timu mkubwa lazima Raisi wa Tanzania awepo, ninyi Yanga subirieni rais wa Somalia atakuja kuwapa kikombe cha 4G
 
Kweli man wachezaji wengi wa dar ni wala chips so nguvu hawana lkn wamejaa taifa starts unamchukua mtu kama ndemla alafu unamuacha Adam salamba si ni ujua huu
 
Yeye mwenyewe ni simba toka magogoni hadi raisi wa Tff ni simba yaani safu yote ya uongozi wa hili Taifa ni mnyama

Mjomba safari hii pesa ya simba ikiguswa na kuchezewa na wajanja magereza panakuwa nyumbani kwako rasmi.
 
Yeye mwenyewe ni simba toka magogoni hadi raisi wa Tff ni simba yaani safu yote ya uongozi wa hili Taifa ni mnyama

Mjomba safari hii pesa ya simba ikiguswa na kuchezea na wajanja magereza panakuwa nyumbani kwako rasmi.
Unamaanisha awamu zingine wizi ulikuwa halali pale simba
 
Kweli man wachezaji wengi wa dar ni wala chips so nguvu hawana lkn wamejaa taifa starts unamchukua mtu kama ndemla alafu unamuacha Adam salamba si ni ujua huu
Afadhali wew umeliona hilo!,Haiwezakani ukiwa timu za dar ndo unajua mpira kushinda wote,mfano mdogo tu bila unafiki Ndemla anamshinda Ibrahim Ahmada Hilika,au Salum kihimbwa au Hasan Dilunga?
 
Njaa imehama tumboni sasa ipo kichwani hata akili za kuvukia barabara hamna, aya basi kajinyongeni nyie wala mihogo fc. Simba timu mkubwa lazima Raisi wa Tanzania awepo, ninyi Yanga subirieni rais wa Somalia atakuja kuwapa kikombe cha 4G
Unalilo liandika hapa ndo njaa yenyewe, wapi uliwahi kusikia Rais kaenda kukabidhi kombe la ligi?
 
Wanaonwaje au mpaka waje dar?
 
Njaa imehama tumboni sasa ipo kichwani hata akili za kuvukia barabara hamna, aya basi kajinyongeni nyie wala mihogo fc. Simba timu mkubwa lazima Raisi wa Tanzania awepo, ninyi Yanga subirieni rais wa Somalia atakuja kuwapa kikombe cha 4G

Woyoooo
 
Habari zenu!
Iwapo Rais Magufuli atakwenda kuwapa kombe Simba la Ubingwa 2018, tukio hili litakuwa ajabu ya dunia ama tunaweza kuita kituko cha karne katika soka...
Unalilo liandika hapa ndo njaa yenyewe, wapi uliwahi kusikia Rais kaenda kukabidhi kombe la ligi?

--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…