Rais Magufuli:Usikubali Ushabiki wa Maria(TFF) kwa Simba, kukufanya ajabu.

Lengo lenu la kumfanya awe ajabu ya soka,nadhan ataghairi baadae
 
Ndiyo anapenda sana issue za nyomi na macamera
 

Sijaipata hii, siku hizi niko mbali na mpira...una maana TFF imemualika Rais kwenda kutoa kombe la ubingwa wa VPL kwa Simba??? Kama ni hivyo hawa TFF kamani kweli wamemualika nadhani hawamtakii mema Rais...JK alikuwa na ni shabikina mwanachama wa Yanga lakinihata siku moja hakujihusisha wazi wazi na mambo ya Yanga...dah hii kali hata Nyerere alikuwa Yanga lakini hakujihusisha na Yanga moja kwa moja ...hata Mkapa alikuwa Yanga lakinihakujihusisha moja kwa moja na ushabiki wa timu hizi mbili...
 

Kumtaja Raisi au Makonda kuhusu mambo yanayohusu Simba ni kama kupoteza muda uongozi wa juu wote mpaka kina Ndugai,Majaliwa wote ni Simba damu.
 
Kwa nini asisubiri wafanye vizuri mechi za kimataifa ndo aje au aalikwe mechi ya timu ya taifa
 
Hivi rais akiwa shabiki wa timu inakuwa dhambi? Kwani ushabiki wake una uhusiano gani na matokeo ya uwanjani? Au ndio mnatujulisha kuwa ni kweli ?JK alikuwa akiisaidia yanga kupitia Ridhwani na Manji?
 
Wewe Yanga una shida na wivu sana sana na utakomaa lazima akakabidhi kombe kwa wekundu wa Msimbazi...
 
Wewe Yanga una shida na wivu sana sana na utakomaa lazima akakabidhi kombe kwa wekundu wa Msimbazi...
 
Wewe Yanga una shida na wivu sana sana na utakomaa lazima akakabidhi kombe kwa wekundu wa Msimbazi...
 
Wewe DREAMBOY Yanga una shida na wivu sana sana na utakomaa lazima akakabidhi kombe kwa wekundu wa Msimbazi...
Hahahah kariaa na Malinzii watakuwa YANGA Bana...
 
Baada ya Simba kungoa viti taifa alinukuliwa akisena,kwa tabia hii ni bora akaangalie ndondo,je hio mechi ni ya ndondo,?
 
Msomali mnampa uraisi wa TFF badala ya kuwa kwao Mogadishu na katibu Mrundi arudishwe kwao Bunjumbura
 
Baada ya Simba kungoa viti taifa alinukuliwa akisena,kwa tabia hii ni bora akaangalie ndondo,je hio mechi ni ya ndondo,?
Haendi kuangalia mechi, anaenda kukabidhi kombe. Kwa lugha nyingine, yaani hata ingekuwa sherehe za kukabidhi mabingwa kombe lao zinafanyika Diamond Jubilee, angeenda tu kama mgeni rasmi
 
Mkuu Usipate Tabu! Tarehe 19 andamana Mpaka Uwanja Wa Taifa Ukamzuie Magu Asimkabizi Kombe Bingwa Wa Tanzania Ambaye Hajafungwa Hata Mchezo Mmoja.

"SIMBA IS INVINCIBLE "
 
Kwahiyo unafuraha mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…