- Thread starter
- #41
Eti niandamane?Mkuu Usipate Tabu! Tarehe 19 andamana Mpaka Uwanja Wa Taifa Ukamzuie Magu Asimkabizi Kombe Bingwa Wa Tanzania Ambaye Hajafungwa Hata Mchezo Mmoja.
"SIMBA IS INVINCIBLE "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti niandamane?Mkuu Usipate Tabu! Tarehe 19 andamana Mpaka Uwanja Wa Taifa Ukamzuie Magu Asimkabizi Kombe Bingwa Wa Tanzania Ambaye Hajafungwa Hata Mchezo Mmoja.
"SIMBA IS INVINCIBLE "
Huo ni ushauli kwa JPM na siyo ww!We yanga acha kulialia...na nyie mkimualika atakuja..huyu ni rais wa wote
Mbona Kikwete hazikumuharibia? Kitu kimoja watanzania tumekubaliana nacho sio cha kutugawa ni kuwa simba au yanga. Mi tunataniana tu, shughuli inaishia hapo. Mwigulu yanga damu ila siasani mamuelewa sana, mi simba.Kwa mapenzi yangu ya dhati kwako na shauli na kuomba zikwepe hizo SIASA za mpira.Zina hasara kubwa kwa upande wa KISIASA!
Ndiyo maana hata Mh Rais mstaafu wa awamu ya nne ndg J.Kikwete alizikwepa.Pamoja na MAHABA yake kwa timu ya Yanga lkn HAKUTHUBUTU kwa namna yeyote kujihusisha nayo kwa maana ya moja kwa moja.
Magufuli simba, yanga wameumia sana.Mbona Mnalialia? Ingekuwa Nyie Sawa, Simba Siasa? Kwel Akinya Kuku Kanya Ila Bata Kaharsha
Pamoja na kikwete kuwa na MAHABA yake kwa timu ya Yanga ulimuona hata siku moja amejihusisha nayo?Mbona Mnalialia? Ingekuwa Nyie Sawa, Simba Siasa? Kwel Akinya Kuku Kanya Ila Bata Kaharsha
Awe Simba au Yanga lkn yeye km mkuu wa nchi hatakiwi kuwa upande.Rejea MAHABA ya kikwete kwa Yanga je ulimuona hata siku moja akijihusisha nayo moja kwa moja?Magufuli simba, yanga wameumia sana.
Alijihusisha nayo kupitia Ridhiwani, alafu JK ni mwanachama hai wa Yanga, JPM ni shabiki tu.Pamoja na kikwete kuwa na MAHABA yake kwa timu ya Yanga ulimuona hata siku moja amejihusisha nayo?
Labda humjui kikwete, usihofu.Awe Simba au Yanga lkn yeye km mkuu wa nchi hatakiwi kuwa upande.Rejea MAHABA ya kikwete kwa Yanga je ulimuona hata siku moja akijihusisha nayo moja kwa moja?
Hujui jambo lolote ktk hilo!Lkn na kwa taarifa yako mm na ww hapa jf ni CCM sasa ona tunaanza kutofautiana kwa sababu ya Mh Rais kujihusisha na siasa za mpira.Vipi huko field?Ndiyo maana nakwambia ki siasa itamlazimu azikwepe siasa za u-Simba na u Yanga ZITAKUHALIBIA!Alijihusisha nayo kupitia Ridhiwani, alafu JK ni mwanachama hai wa Yanga, JPM ni shabiki tu.
Mavi ya kale hayanuki ndg.Acha wivu mkuu..kikwete sio SI Unit
Mimi sio sisiemu bali ni Pro Magufuli. Sasa unataka hadi timu tuwe tunafanana. Wewe yanga, mimi simba. Mtafute mdau mwingine wa simba ambaye pia ni pro magufuli uone mtazamo wake.Hujui jambo lolote ktk hilo!Lkn na kwa taarifa yako mm na ww hapa jf ni CCM sasa ona tunaanza kutofautiana kwa sababu ya Mh Rais kujihusisha na siasa za mpira.Vipi huko field?Ndiyo maana nakwambia ki siasa itamlazimu azikwepe siasa za u-Simba na u Yanga ZITAKUHALIBIA!
Yanga na Simba ni silaha hatari kuliko hata kina Mbowe zikitumika KISIASA!Mimi sio sisiemu bali ni Pro Magufuli. Sasa unataka hadi timu tuwe tunafanana. Wewe yanga, mimi simba. Mtafute mdau mwingine wa simba ambaye pia ni pro magufuli uone mtazamo wake.
Toa mfano, mwanasiasa gani kaharibika kwa kujihusisha na simba na yanga.Yanga na Simba ni silaha hatari kuliko hata kina Mbowe zikitumika KISIASA!
fafanua zaidiKwa mapenzi yangu ya dhati kwako na shauli na kuomba zikwepe hizo SIASA za mpira.Zina hasara kubwa kwa upande wa KISIASA!
Ndiyo maana hata Mh Rais mstaafu wa awamu ya nne ndg J.Kikwete alizikwepa.Pamoja na MAHABA yake kwa timu ya Yanga lkn HAKUTHUBUTU kwa namna yeyote kujihusisha nayo kwa maana ya moja kwa moja.