Rais Magufuli:Usikubali Ushabiki wa Maria(TFF) kwa Simba, kukufanya ajabu.

Rais Magufuli:Usikubali Ushabiki wa Maria(TFF) kwa Simba, kukufanya ajabu.

Mshatawazwa zaidi ya misimu minne,waacheni na wenzenu watawazwe.
 
Habari zenu!
Iwapo Rais Magufuli atakwenda kuwapa kombe Simba la Ubingwa 2018, tukio hili litakuwa ajabu ya dunia ama tunaweza kuita kituko cha karne katika soka.

Sisi wadau wa soka tunajua Karia ni mshabiki wa wazi wa Simba, tumshauri tu apunguze mahaba, sijawahi kusikia Rais kuenda kutoa kombe la ligi ya ndani.Kama sio dharau kwa Rais ni nini hii?.

Analeta habari za kuhalalisha eti nao Serengeti boys nao watamkabidhi kombe, upuuzi mtupu. Nilifikiiri wamemtumia Rais taarifa ya kwanini wachezaji wengi wa Taifa stars wanachaguliwa zaidi kutoka timu za Dar, pia wamueleze FIFA imetuma shiling ngapi kuwaajili ya Youth soccer, na kwanini ligi daraja la kwanza haina udhamini,ili awape hata ushauri wa namna ya kufanya.sio haya masinema.

Mimi naamini mngetaka kumualika Rais mgetafuta mechi ya taifa stars ili aone fedheha yetu. Siamini kama Rais atawaitikia ,haya mambo yenu ya kujipendekeza na kutafuta kiki.
Haya subria haphpo na kesho Magufuli atakua uwanja wa taifa na ubaki na roho mbaya yako haiwez kukusaidia kitu
 
Afadhali wew umeliona hilo!,Haiwezakani ukiwa timu za dar ndo unajua mpira kushinda wote,mfano mdogo tu bila unafiki Ndemla anamshinda Ibrahim Ahmada Hilika,au Salum kihimbwa au Hasan Dilunga?
Kwhyo umemuona ndemla tu ndio anaitwa taifa stars je hao wachezaji wa vyura sc ndio wanawazid hao uliowataja
 
Vituko vimekamilika,mambo mengine muwe mnapokea ushauri.
 
Ngoja nimtag Haji Manara [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
At least kalaani vitabia vya kung'oa viti na kutaka point za mezani kule FIFA.
 
Simba ni timu pekee kwa msimu huu ambayo imefungwa mbele ya marais wawili

1. Rais wa Jamuhuri
2. Rais wa shirikisho
 
Simba ni timu pekee kwa msimu huu ambayo imefungwa mbele ya marais wawili

1. Rais wa Jamuhuri
2. Rais wa shirikisho


Simba Ni Timu Pekee Kwa Msimu Huu Ambayo imekabidhiwa Kombe Mbele Ya Maraisi Wawili

1. Raisi Wa Jamuhuri
2. Raisi Wa Shirikisho
 
Simba Ni Timu Pekee Kwa Msimu Huu Ambayo imekabidhiwa Kombe Mbele Ya Maraisi Wawili

1. Raisi Wa Jamuhuri
2. Raisi Wa Shirikisho

Simba ni timu pekee iliyokabidhiwa kombe mbele ya RAIS WA JAMHURI

Lakini sifa na pongezi ikapewa timu pinzani ya siku ya mechi
 
Back
Top Bottom