wakati unaanzishwa alikuwa serikalini mbona hakushauri hivyo?
Hahahhhaa hao ndio CCMwakati unaanzishwa alikuwa serikalini mbona hakushauri hivyo?
Duh Dau alikuwa mwizi kweli kweli, na ofisi alijaza waislam tu mpaka keroNawapeni ushauri wa maana!
vike vijumba vyenu vya vyumba vitatu mkivotaka kuuza kwa Mil 85
ambavyo thamani yake ni 20M msihangaike kuviuza! Pangisheni, nasema PANGISHENI hata kwa laki 3 au 2 na nusu kwa mwezi! na mnaowapangisha kama ni watu binafsi walipe miezi sita sita au kama ni wa serikali basi akatwe kwa mshahara wakee kila mwezi!
Msilazimishe kuuza wapuuzi nyieeee! msirudie tena ujinga huoo wa kuuza!
kwanza kupangisha kutawaletea hela nyingi na kwa maisha yoteeee itakuwa ni mafaida tuuuu
Kwa mwanasiasa wa kweli ukitoa ushauri ukakataliwa unaachia ngazi, angalia yanayotokea USAukiacha ushabiki wa kisiasa utaona umeandika kitu kisichofaa kuandikwa na msomi. kukaa kwake madarakani muda wote ndio iwe sababu ya kufikiri anayofanya sasa hayafai?
kuna kitu kinaitwa ' specialization' ambapo kila kiongozi kuanzia waziri kushuka chini wanatakiwa kujikita katika sehemu zao za kazi na hata anapotoa ushauri anatoa ushauri wa eneo lako. ulitaka Magufuli atoe ushauri kwa kila kitu kwani alikuwa waziri mkuu ama makamu wa rais?
je, kama aliwahi kutoa ushauri binafsi kwa rais ama hata kupendekeza kwa baraza la mwaziri, wewe ungejuaje kafanya hivyo kama yanayojadiliwa kwenye baraza hilo ni siri na wanaokuwemo humo wameapa kuilinda?
Duh Dau alikuwa mwizi kweli kweli, na ofisi alijaza waislam tu mpaka kero
vyumba vitatu tena vya 2.5 x 3 utuuzie mil85 we pimbi ninMatusi yote ya nini huyo magufuli ana elephant project ya airport chato, midege haina business plan mbn hajisemi acheni ujuha time will tell. Pamoja na madhaifu ya dege eco village lkn uchumi ungekuwa umatemgamaa watu wangenunua sema aliokuja uwa real estate ni magu na Sera zake utaona hata twin towers za pspf pale Tra posta hayana mpangaji yapo km kivuli tu
Sawa bilali mashauzivyumba vitatu tena vya 2.5 x 3 utuuzie mil85 we pimbi nin
Time will tell nakwambia, ni kama Mkapa anaeoneka kushauri kwa hisia Tz na Africa baada ya kustaafu wakati kipindi chake migodi ya makaa ya mawe iliuzwa kwa bei ya kiatu!ukiacha ushabiki wa kisiasa utaona umeandika kitu kisichofaa kuandikwa na msomi. kukaa kwake madarakani muda wote ndio iwe sababu ya kufikiri anayofanya sasa hayafai?