Rais Magufuli: Uwekezaji wa NSSF wa Dege Eco Village(Kigamboni) haufai

Dau c alishaondoka mwaka wa 3 sasa huu, jazeni wakristo mbona hakuna neno?
Ni ujinga kuajili watu kwa kuangalia udini, Dau na wengine wote wenye kutumia dini ni wapumbafu. Hata Asad naye inasemekana ni mdini dini ila ina wezekana watu ka yeye system ilishawaweja kapuni hawezi kufurukuta
 
Ni kweli ujinga ila uzuri pia upo, maana kumbe inajuliakana dini ni uislam tu. Hamdulillah naomba niishie hapa.
 
Una ushahidi na unayosema kwa data, au mradi tu umesikia?
 
Ni kweli ujinga ila uzuri pia upo, maana kumbe inajuliakana dini ni uislam tu. Hamdulillah naomba niishie hapa.
Dau pale NSSF alipageuza udini, alishawahi mdharau waziri mpakakatibu mkuu wake wa wizara ya mambo yake, kisa ni waziri mkristo. Yaani Dau hafai kuongoza watu ktk jamii. Na mtu yeyote hata ka hana dini ni dhambi kupendelea, acha kila mtu apate kazi kwa uwezo. Ukienda bakhresa naye kajaza udini tupu
 
Wewe huna akili, daktari akifanya hujuma ukaenda hospitali unazidishiwa dozi, hasara kwa nani?, Tanesco wakifanya hujuma wakaunguza transformer atakayekosa umeme ni wewe. Acha kushauri upuuzi
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asema bila kujali ulianzishwa na nani na kwa malengo gani ni uwekezaji usio na tija. Ungefanywa na kampuni binafsi ingeeleweka

Asisitiza, tena kwa sasa ndo haufai kabisa kufuatia Serikali kuhamia Dodoma.

Amewataka NSSF kujitafakari juu ya uwekezaji huu.

Amesema kama SSRA wangekuwa makini miradi kama hii isingekuwepo.

Soma pia:
Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kigamboni ulioanzishwa na NSSF (Dege Eco Village) unapigwa mnada - JamiiForums

Ujenzi Mkubwa unaoendelea Kigamboni(Dege Eco Village), ni mradi wa nani? - JamiiForums
Chamsingi wangemalizia mradi kieleweke tuu. Pamoja na makao makuu kuhamia dodoma Dar itaendelea kutanuka kutokana na kuongezeka Kwa watu. Ni kama Nigeria Lagos vs Abuja, south Africa Pretoria Vs Capetown vs Johannesburg's vs Durban, India Mumbai vs newdelh, China Beijing vs Shanghai, USA Newyork vs Los Angeles vs Chicago Vs Boston's vs Washington dc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dau pale NSSF alipageuza udini, alishawahi mdharau waziri mpakakatibu mkuu wake wa wizara ya mambo yake, kisa ni waziri mkristo. Yaani Dau hafai kuongoza watu ktk jamii. Na mtu yeyote hata ka hana dini ni dhambi kupendelea, acha kila mtu apate kazi kwa uwezo. Ukienda bakhresa naye kajaza udini tupu

Ni kweli hata reginald mengi mtu safi kajaza wazaramo waislam ipp yote, mtu safi
 
Chamsingi wangemalizia mradi kieleweke tuu. Pamoja na makao makuu kuhamia dodoma Dar itaendelea kutanuka kutokana na kuongezeka Kwa watu. Ni kama Nigeria Lagos vs Abuja, south Africa Pretoria Vs Capetown vs Johannesburg's vs Durban, India Mumbai vs newdelh, China Beijing vs Shanghai, USA Newyork vs Los Angeles vs Chicago Vs Boston's vs Washington dc

Sent using Jamii Forums mobile app

Mgombea yeyote wa upinzani atakaye sema katika uchaguzi 2020 kuwa sera yake ni kusimamisha serikali kuhamia Dodoma tayari atakuwa kazoa zaidi ya 35% ya kura kabla hata ya kampeni. Ikiwemo 80% ya kura,za,wafanyajazi wa serikali wanaohangaikia kupanda mabasi, ndege na usafiri binafsi kila mwisho wa wiki kurudi kuona familia zao DSM.
 
Nawapeni ushauri wa maana!
vike vijumba vyenu vya vyumba vitatu mkivotaka kuuza kwa Mil 85
ambavyo thamani yake ni 20M msihangaike kuviuza! Pangisheni, nasema PANGISHENI hata kwa laki 3 au 2 na nusu kwa mwezi! na mnaowapangisha kama ni watu binafsi walipe miezi sita sita au kama ni wa serikali basi akatwe kwa mshahara wakee kila mwezi!

Msilazimishe kuuza wapuuzi nyieeee! msirudie tena ujinga huoo wa kuuza!

kwanza kupangisha kutawaletea hela nyingi na kwa maisha yoteeee itakuwa ni mafaida tuuuu
Nani apange laki 3 kulee??mafuta Tu ya kufika mjini kila siku ya elfu 40,kama not kupangisha basi laki na nusu walau watatushawishi Ila siwez lips laki 3 kule hela ambayo hapa chang'ombe napata apartment nzuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asema bila kujali ulianzishwa na nani na kwa malengo gani ni uwekezaji usio na tija. Ungefanywa na kampuni binafsi ingeeleweka

Asisitiza, tena kwa sasa ndo haufai kabisa kufuatia Serikali kuhamia Dodoma.

Amewataka NSSF kujitafakari juu ya uwekezaji huu.

Amesema kama SSRA wangekuwa makini miradi kama hii isingekuwepo.

Soma pia:
Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kigamboni ulioanzishwa na NSSF (Dege Eco Village) unapigwa mnada - JamiiForums

Ujenzi Mkubwa unaoendelea Kigamboni(Dege Eco Village), ni mradi wa nani? - JamiiForums
Magufuli ni rais makini.Nakupongeza
 
Back
Top Bottom