Rais Magufuli: Uwekezaji wa NSSF wa Dege Eco Village(Kigamboni) haufai

Rais Magufuli: Uwekezaji wa NSSF wa Dege Eco Village(Kigamboni) haufai

Faida ya huu mradi umeacha vitoto chotara kibao kwenye vijiji jirani na mradi ulipo.
 
The president is correct, I hated that thing from the beginning

MUDA SI MREFU MTAKUJA KUSEMA HIVYO HIVYO KWA UWEKEZAJI WA MRADI WA STIEGLER"S GORGE, NA HUKU MMEFANYA MAAMUZI KUUTEKELEZA AGAINST THE ADVICE OF ALL SANE PEOPLE!!!
 
Mheshimwa rais wetu, okoa pesa zilizowekezwa kifisadi na Dau kule Kigamboni kwa kufuta hati ya viwanja vyote vya Akbar, ili akose uhalali kisheria na hivyo kuwakabidhi NSSF waendelee kutafuta mbia mpya.

Tafadhali sana mheshimiwa rais
 
Dau pale NSSF alipageuza udini, alishawahi mdharau waziri mpakakatibu mkuu wake wa wizara ya mambo yake, kisa ni waziri mkristo. Yaani Dau hafai kuongoza watu ktk jamii. Na mtu yeyote hata ka hana dini ni dhambi kupendelea, acha kila mtu apate kazi kwa uwezo. Ukienda bakhresa naye kajaza udini tupu
Akifanya Muislamu Mdini ila akifanya mkristo sio Mdini. Hii inathibitisha DINI pekee ya haki Duniani ni Uislamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimwa rais wetu, okoa pesa zilizowekezwa kifisadi na Dau kule Kigamboni kwa kufuta hati ya viwanja vyote vya Akbar, ili akose uhalali kisheria na hivyo kuwakabidhi NSSF waendelee kutafuta mbia mpya.

Tafadhali sana mheshimiwa rais
Hivi nyie uvccm mmeenda shule kweli mna ubongo au makamasi?
 
Sasa kama Dau ni fisadi, kwa nini kampa ubalozi, cheo cha heshima, kuwakilisha taswira ya nchi huko nje ya nchi?
Si amvue ubalozi kama alivyofanya kwa Kidata kisha ampeleke mahakamani?
 
Mheshimwa rais wetu, okoa pesa zilizowekezwa kifisadi na Dau kule Kigamboni kwa kufuta hati ya viwanja vyote vya Akbar, ili akose uhalali kisheria na hivyo kuwakabidhi NSSF waendelee kutafuta mbia mpya.

Tafadhali sana mheshimiwa rais
Rais Magufuli ameshindwa kabisa kuielewa biashara ya real estate. Ameshindwa pia kuelewa kuwa Kigamboni ndiyo city mpya. Pia ameshindwa kuelewa uwekezaji wa dege na daraja jipya ulikuwa na uhusiano upi kibiashara.

Nadhani kuna hila kama aliyaelewa yote hayo.

Mradi wa dege ungeachwa umalizike, ni mradi mzuri sana na wenye faida endelevu kwa hesabu zozote zile.

Cha mwisho alichojitetea ni kusema ule mradi unafaa "private".

Makemikali na biashara wapi na wapi?
 
magufuri anadandia sana vitu bila kujua chanzo na nia,watu tumewekeza sama kigamboni baada ya kuona hiyo miradi,leo hii anakwambia havina faida,yani mzee hafikiri nje ya box hata kidogo
 
Rais Magufuli ameshindwa kabisa kuielewa biashara ya real estate. Ameshindwa pia kuelewa kuwa Kigamboni ndiyo city mpya. Pia ameshindwa kuelewa uwekezaji wa dege na daraja jipya ulikuwa na uhusiano upi kibiashara.

Nadhani kuna hila kama aliyaelewa yote hayo.

Mradi wa dege ungeachwa umalizike, ni mradi mzuri sana na wenye faida endelevu kwa hesabu zozote zile.

Cha mwisho alichojitetea ni kusema ule mradi unafaa "private".

Makemikali na biashara wapi na wapi?
Sasa mkuu hela akbar hajatoa mradi ungeishaje? Ule mradi ni ufisadi mkubwa kuliko fisadi zote zilizowahi kutokea tanzania.Mi nachosema badala ya kubwata kila leo na mradi ukiendelea kusimama kwa sababu za ugumu kisheria, basi kuondoa sheria ktk mradi huo njia pekee ni rais ku revoke hati ya hilo shamba ili akbar akose nguvu ya kushtaki na serikali ichukue mradi na kutafuta mbia wa kumalizia.OVER
 
Rais anapaswa kubadilisha mshauri wake wa Masuala ya Biashara Na Uchumi

Kwenye Uchumi wa Soko huria Kuwa Na mshauri Mwenye mlengo wa Kijamaa sio sahihi

Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pesa inazokusanya lazima iwekeze Kwenye Miradi ambayo ni ya longterm ambayo risk yake ni ndogo Sana Na kawaida Biashara yoyote ambayo level of risk is very minimal lazima return yake iwe ndogo Pia japo inadumu Kwa Muda mrefu, Miradi ya Majengo Ni Moja ya hizo investment

Sasa hivi NSSF imeshauriwa Na imeanza kuwekeza Kwenye zao la Pamba

Biashara ya Mazao hasa ya Biashara ni Biashara ya Muda mfupi ( seasonal ) Na Pia ni very risk Kwa Kuwa determinants zake ni nyingi Sana mfano haki ya hewa Na Soko la Kimataifa ambapo vyote hivyo ni uncontorable factors

Mradi wa Dege Beach ulikuwa Mradi Mzuri Sana Kwa Mwenye kuwaza Kwenye Falsafa ya kibiashara.
Rais hataki pension fund wawekeze Kwenye Majengo ila hasemi wawekeze wapi ambapo ni risk free
Imagine umewekeza Kwenye Soko la hisa Halafu linatikisika within 24 hrs unakuja kuwaeleza vipi wastaafu?

Fedha Za Pension Pia ni Za kuweka Kwenye Biashara ili zizalishe sio kuweka Kwenye Kibubu kusubiri Mtu astaafu!

Serikal kuu haikupaswa kuwekeza Kwenye Majengo, kazi hiyo ingefanywa Na Pension fund Halafu wao wakawa wakodishaji kuepuka gharama kubwa Za maintenance Na zinginezo

Ukiwaza Na kujitia Sana Hofu ya kuogopa kuibiwa Na Wafanyakazi wako usifanye Biashara tafuta shughuli nyingine
 
Back
Top Bottom