christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Kwa huu uandishi wako sidhani kama watakuelewa.Mheshimwa rais wetu, okoa pesa zilizowekezwa kifisadi na Dau kule Kigamboni kwa kufuta hati ya viwanja vyote vya Akbar, ili akose uhalali kisheria na hivyo kuwakabidhi NSSF waendelee kutafuta mbia mpya.
Tafadhali sana mheshimiwa rais