Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapendi kupingwa kiongozi wa malaikaWacha wagombee tu hata Mia maana atatoka mmoja tu kwani shida iko wapi
Orodha ya majimbo yenye wabunge mizigo ni sengerema,ukonga,siha,simanjiro,nyangwale, Serengeti, rombo, bukombe,Hanang,kongwa,mkoa wote wa morogoro isipokuwa morogoro mjini,kiteto,mkoa wote wa tanga,mkoa wote wa iringa,mkoa wotewa simiyu na kataviRais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amewataka wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wajipime kwanza kama wana ubavu badala ya kukurupuka.
Amewataka wagombea kujipima uwezo wao na kulinganisha sifa walizonazo na zile za watia nia wengine kama huna unachowazidi ni heri ukakaa pembeni badala ya kukipa chama mzigo.
Chanzo: ITV habari
My take: Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100%
Hyu sifi leo ndio think taank wa CCM! angalia alichokiandika! Ukiwa uchaguzi huru na haki ccm itapigwa chini asubuhi! ErythrocyteMh Rais na mwenyekiti wa chama mapinduzi ndugu John Joseph Pombe Magufuli Leo ukiwa unakagua kumbi ZA chama chenu umeskika ukiwataka wote wanao taka kugombea watangulize uzarendo kwanza
Pili umewataka wajitathimini wao wenyewe wanafaaa kweli kwa masilah ya chama cha ccm.
Mh Rais nataka nikujulishe yakuwa kwanza unakundi kubwa lilirokuunga mkono mfano huyu mbunge wa Ukonga hivi kweli unaisi anafaaa kweli?
Nikushauri uwape nafasi wagombee ila kondition ya wao kujipima sidhani maaana hata kwenye uraisi kama chadema ikimpa ridhaa Tundu lisu kuna kamziki kakubwa ka kujifunza.
Huyo kilango ni nani?!Hongera sana mh Rais huku same mashariki kuna mtu anaitwa Mashafi Ameanza kupita na kuanza kumchafua mama Anne kilango
Kwani yeye alikuwa na sifa za kugombea kuliko Lowasa? au Membe? au Mwele Malecela na wengine? Mbona alipita? Aache kila mmoja apime bahati yake, anaweza kutokewa na ngekewa kama yeye alivyopata kwa NGEKEWA!Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amewataka wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wajipime kwanza kama wana ubavu badala ya kukurupuka.
Amewataka wagombea kujipima uwezo wao na kulinganisha sifa walizonazo na zile za watia nia wengine kama huna unachowazidi ni heri ukakaa pembeni badala ya kukipa chama mzigo.
Chanzo: ITV habari
My take: Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100%
Usikariri bwashee!Kwani yeye alikuwa na sifa za kugombea kuliko Lowasa? au Membe? au Mwele Malecela na wengine? Mbona alipita? Aache kila mmoja apime bahati yake, anaweza kutokewa na ngekewa kama yeye alivyopata kwa NGEKEWA!
!Usikariri bwashee!