johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Acha kukariri mkuu!Tatizo mnajipendekeza kwa MTU msiyemjuwa vizuri.
Jimbo LA Chato kwa miaka 10 mfululizo mgombea ubunge wake alikuwa anapita bila kupingwa.
Bwana huyu aliwahi kugombea jimbo LA Biharamuro na kupigwa chini na mgombea wa upinzani Phares Kabuye, tangia hapo bwana huyu swala LA sanduku LA kura halitaki kabisa na ndio msingi wa kuwachukia wapinzani, walimpa fedhea sana miaka 25 iliyopita.