johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hamna mke wa kuletewa kidesign hiyo,Hapo muungano uongeze kipengele kua ni lazima wanawake wa zanzibar waje kukaa bara ndio muungano utakua mzuri
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wanyamwezi!Hivi wenyeji hasa wa huko Zanziba ni kabila gani hasa na wanaongea kilugha gani..?
Anatembea, analala, anaongea...kitu pekee kilichoujaza Ubongo wake ni kabila lake la Kisukuma..Rais Magufuli amesema Zanzibar ni kisiwa cha raha hata watanzania bara wengu wanapohitaji kupumzika huja Zanzibar.
Rais Magufuli amesema hata kaka wa baba yake alikuja Zanzibar na kubakia huko huko kama ilivyokuwa kwa wasukuma na wanyamwezi wengi
Source Channel ten
So what? Tunapaswa kufanya nini sasa kuhusu hii kauli. Embu tuwe makini kidogo, sio kila kitu ni newsworthy, cha kuleta humu. Grow up.Rais Magufuli amesema Zanzibar ni kisiwa cha raha hata watanzania bara wengu wanapohitaji kupumzika huja Zanzibar.
Rais Magufuli amesema hata kaka wa baba yake alikuja Zanzibar na kubakia huko huko kama ilivyokuwa kwa wasukuma na wanyamwezi wengi
Source Channel ten
Muungano ni imara kuliko unavyofikiria bwashee!So what? Tunapaswa kufanya nini sasa kuhusu hii kauli. Embu tuwe makini kidogo, sio kila kitu ni newsworthy, cha kuleta humu. Grow up.
Zanzibar ni Raha!na tangia JPM aingie madarakani Zenji kumetulia kabisaaa...hadi Maalim ameridhikaa na ametuliaa
~kuchoma makanisa...hakuna
~kuwatimua wamasai...hakunaa
~hawa wakafiri...hatusikii tena
~kushambulia makasisi...imekomaa
~waliotamani kujitenga...hivi ss wanalilia nchi1 na Taifa1
~kuchomeana nyumba na kuacha kuzikana...haipo tena
JPM ashikilie hapohapo kwa kwelii..full Amani.
Mapinduzi Daimaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mungano uboreshwe Zaidi na Zaidi. Kasoro zirekebishwe. Siamini katika kuuvunja muungano sababu ya hawa wanasiasa wenye uchu wa kutawala.
Muingiliano wa watu wa pande mbili ni kielelezo tosha kwamba muungano una sababu nyingi za kuendelea kuwepo badala ya kufikiria waliokimbilia Uingereza warudi kuongoza nchi ambayo sio yao.
Maalimu nafikiria unanielewa
Kwani wanawake wa Zenj wana nini cha ziada ?Hapo muungano uongeze kipengele kua ni lazima wanawake wa zanzibar waje kukaa bara ndio muungano utakua mzuri
Sent from my iPhone using JamiiForums
Okay sawa. Na yeye si ni msukuma, basi, abaki huko huko,asirudi tena Chato.Muungano ni imara kuliko unavyofikiria bwashee!
Nimefika Forodhani nakuta wamejaa wazungu tuHamna mke wa kuletewa kidesign hiyo,
Unataka mke panda Boti ya Azam
Fika forodhani uchague chombo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app