Rais Magufuli: Wasukuma na Wanyamwezi wengi walikuja Zanzibar na kutorudi tena usukumani akiwemo baba yangu mkubwa

Yeah ni kweli tena Kenya na uganda zimeungana na Tanzania kimipaka na familia zaid ya Zanzibar , tuunge muungano liwe taifa la kenya United
Wewe unazungumzia mipaka?!......hahahaaaa.......!

Watanganyika ndio wazanzibari uwe unaelewa hamii!
 
Waana siasa wanapotaka kutafuta njia rahisi ya kujipatia madaraka ndio wanachochea kuvunjwa kwa muungano. Wananchi wanaohangaikia mlo wao hawana hizi shida wanazoleta wana siasa
 
Umesahau tindikali hakuna tena
 
Huyu takataka sijui kina Kikwete walimwokota wapi aisee.

Kina anapoenda huwa hana la kufanya, anachofanya ni kulazimisha wenyeji wa eneo husika kuwa yeye ni mtu wao ili apate upendeleo.

Akiwa Usukumani anaongea Kisukuma.

Akiwa Kagera anangea Kilugha na Kuwaambia Yeye Ni "Mzilankende Muyango"

Akienda Arusha na Moshi Anadai Mke Wake Ni Wa Huko.

Huwezi Kumsikia Akiongelea Namna Ya Kupunguza Umasikini, Kuongeza Kipato Cha Mtu Mmoja Mmoja au Kuongeza Ajira.

Hata Hizo Ziara Naona Huwa Anaishia Kugombana Na Kutukana Wananchi Majukwaani Tu.

Tushahesabu Hasara Akae Atulie Muda Wake Uishe Afe Kama Wengine. Basi !
 
Waana siasa wanapotaka kutafuta njia rahisi ya kujipatia madaraka ndio wanachochea kuvunjwa kwa muungano. Wananchi wanaohangaikia mlo wao hawana hizi shida wanazoleta wana siasa

Unaweza kutuambia ni wanasiasa gani wanaochochea kuvunj huo muungano?

Wananchi ndio hawauti huo muungano.
 
Na kumwagia tindikali mapadri kumeisha ila mwezi wa Ramadhani bakora kwa wanaokula hadharani bado ziko palepale.
 
HATA HUKU TANGANYIKA KUNA KIJIJ KINAITWA MAKUNDUCHI KITAFUTE NI NDUGU YA HICHO KIJIJI?

Eneo lote la mashariki lilikuwa himaya ya Zanzibar kwa hio usione ajabu ya majina ya mitaa na miji, kuna barabara huku Zanzibar majina, mkapa, mwinyi, ni kawaida hio
 
Kwahiyo baba mkubwa wake naye alikuwa miongoni mwa watumwa waliobebeshwa mizigo mizito?
 
Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa hayo mambo yalikuwa yanafadhiliwa na kikwete ambaye alikuwa mwenyekiti wa ccm enzi hizo kabla ya magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…