Usikute wao tayari washapiga zao za kuwalindaKuna wakati unawaza sana. Mtu mzima anakuja na kudai eti chanjo haina maana kwanini wameshindwa kupata chanjo ya HIV ila kasahau wamepunguza makali kwa kuleta ARV. Anadai kwanini wameshindwa kuleta chanjo ya maralia kasahu alishapewa vyandarua. Sasa kama yeye anashindana na wazungu kwanini anashindwa kuhimiza maombi HIV na Camcer zipotee kama anavyohamini Corona itapotea kwa maombi. Nachukia sana
Mkuu kama ulivyosema ni WACHACHE SANA. Wengi wao ni matapeli na wanafanya miujiza yao kwa kutumia nguvu za gizaNi ngumu sana lakini inawezekana kwa watu special gifted the men of God, they are rare.
Tiyari ameanza kukubali taratibu, nilivyokuwa nasikia namna anavyozungumza Majaliwa kwenye Msiba wa Balozi kijazi nikajua kabisa anasafisha njia kwa Jiwe kukubali Corona ipo nchini na watu wanapaswa kuchukua taadhari
Mimi nashauri angehutubia Taifa moja kwa moja kuhusu hili suala linalogharimu maisha ya watu na siyo kujificha makanisani kutoa matamko ya chini kwa chini kwa Jambo serious kama hili
Hata akirudi yeye ni wa kukemewa tu Kama mbwa Koko!! Pamoja na Bwana Yesu ushindi ni hakika!!Shetani yupo busy alirudisha majeshi nyuma leo Hii mnasema kaangukia pua ngoja arudi.
Chukua tahadhari Corona inaua
Hujamwelewa Rais wetu, naomba nijaribu kukuelewesha Kama kweli hitaji lako ni kueleweshwa.Kuna wakati unawaza sana. Mtu mzima anakuja na kudai eti chanjo haina maana kwanini wameshindwa kupata chanjo ya HIV ila kasahau wamepunguza makali kwa kuleta ARV. Anadai kwanini wameshindwa kuleta chanjo ya maralia kasahu alishapewa vyandarua. Sasa kama yeye anashindana na wazungu kwanini anashindwa kuhimiza maombi HIV na Camcer zipotee kama anavyohamini Corona itapotea kwa maombi. Nachukia sana
Halafu autangazie umma, korona ipo Tanzania au hakuna?.
Ni jambo jema!
Litakuwa ni jambo jema endapo ataweka bayana kwa kulitangazia taifa kwamba corona ipo!Ni jambo jema.
Hao watu wengi waliokufa nchi za nje unaona wengi sababu ya uwazi wao. Haya hao wachache waliokufa haoa nchini mwetu ni wangapi? Maana taarifa zote zinafichwa. Kwani ugonjwa wa Umonia unataka watu wavae Barakoa?Hujamwelewa Rais wetu, naomba nijaribu kukuelewesha Kama kweli hitaji lako ni kueleweshwa.
Rais kasema hivi tuchukue tahadhari lakini huku tukimtanguliza Mungu mbele ya mambo yote. Yaani mwamini Mungu na mtegemee Mungu kwanza kabla ya tahadhari yoyote! Mungu mbele tahadhari nyuma. Siyo kwamba Mungu mbele tahadhari hakuna la hajasema Wala hajawahi kusema hivyo!
Amesema mataifa yaliyotanguliza tahadhari mbele na kubeza kumtanguliza Mungu Kama tulivyofanya sisi, kwenye mataifa hayo wamekufa watu wengi sana kwa maelfu na wanaendelea kufa pamoja na tahadhari zao za kuvas barakoa na kufanya lockdown!! Huo ni ukweli ambao hauwezi kukanushwa! Linganisha Marekani na Tanzania Kisha ulete jibu, linganisha Uingereza na Tanzania Kisha ulete jibu!! Ukweli uko wazi kuwa barakoa na lockdown hazijaweza kuwasaidia.
Halafu amesema hata tukisema watu wavae barakoa wangapi wanamudu kuvaa barakoa na kubadilisha barakoa kila baada ya masaa manne? Maana kila baada ya masaa 4 hizi barakoa Zina expire!!
Rais anachosisitiza ni tahadhari za kujikinga kuchukuliwa pamoja na maombi..tusichukue tahadhari pekee tukasahau maombi.maombi yaendane na vitendo. Daudi asingeshinda vita kama asingeenda na silaha na imani.
imani iwepo yes.. lakin na vitendo viendelee.
Kwahiyo mkuu wewe kuanza kuchukua tahadhari mpaka Rais aongee?
Au kuamini kuwa Corona ipo mpaka Rais aseme?
Kwa Hali kweli ni halali elimu iendelee kutolewa bure.
Uchumi gani ambao Tanzania iko nao hadi mataifa makubwa yafanye nayo vita? South Afrika, Misri, Nigeria wao watasemaje kama Tanzania itasema ni vita? Tumia hata ka akili kadogo uliko nako kufikiri.
Watanzania wenzangu, naomba tutumie uzi huu kumtukuza Sana Mungu kwa kutuponya na kutulinda na corona. Tumponde na kumzomea Sana shetani na corona yake.
Maneno Kama: Corona kwa Tanzania inayomtegemea Mungu imekula wa chuya!
Tuwazomee mawakala wa Corona wanaotaka kuitumia corona Kama mtaji wa kisiasa!
Tutumie uzi huu kumwinua na kumtukuza Sana Mungu, maneno Kama: Mungu wetu ana nguvu kuliko korona!! Mungu
Wetu aliyetuponya na corona mwaka 2020 atatuponya pia 2021!
Kwa Mungu hakuna kisichowezekana, corona ni nini mbele ya Mungu aliyeumba mbingu na nchi!! Tutumie uzi huu pia kumwombea na kumtia moyo Rais wetu Dr John Pombe Magufuli. Namshukuru Mungu kwa kutupa Magufuli mcha Mungu kuwa Rais wetu!!
Asante Sana Rais wetu kwa kutuongoza vema kwenye Vita hii dhidi ya Corona: You are very smart kwa kuipambanisha corona na Mungu!
Pamoja na Mungu ushindi ni hakika! Asante Rais wetu kwa kudharau vitisho vyao, usiwasikilize, Bwana wa mabwana atawanyamazisha!! Usiogope Vita Ni vya Bwana!
Tunakupenda Rais wetu! I can't imagine ingekuwaje tungekuwa na Rais mwoga kipindi hiki!! Au kama tungekuwa na Rais ambaye Ni kibaraka wa makaburu!
Mungu akulinde Rais wetu na akupe maisha marefu!
Pamoja na Bwana Tanzania tutavuka!
Jidanganyeni Italia ndio kuna ndio ya Roma na Ulaya yoote hausikii maujinga kama haya ya kumlilia mungu. Arabic countries hawataki kbs ujinga na huu ugonjwa kiasi cha kupunguza msongamano wa watu kwenda kuhiji. Nyie wenzangu na mie mnaosalie kwenye magofu ya pale Kawe mpo busy na kushabikia ujinga. Acha hili dude litutie adabu ndio tutajuana vyema. Eti maombi.
Ila huyu mzee ana roho ngumu kama shetani ?
Kuna wakati unawaza sana. Mtu mzima anakuja na kudai eti chanjo haina maana kwanini wameshindwa kupata chanjo ya HIV ila kasahau wamepunguza makali kwa kuleta ARV. Anadai kwanini wameshindwa kuleta chanjo ya maralia kasahu alishapewa vyandarua. Sasa kama yeye anashindana na wazungu kwanini anashindwa kuhimiza maombi HIV na Camcer zipotee kama anavyohamini Corona itapotea kwa maombi. Nachukia sana
Hujamwelewa Rais wetu, naomba nijaribu kukuelewesha Kama kweli hitaji lako ni kueleweshwa.
Rais kasema hivi tuchukue tahadhari lakini huku tukimtanguliza Mungu mbele ya mambo yote. Yaani mwamini Mungu na mtegemee Mungu kwanza kabla ya tahadhari yoyote! Mungu mbele tahadhari nyuma. Siyo kwamba Mungu mbele tahadhari hakuna la hajasema Wala hajawahi kusema hivyo!
Amesema mataifa yaliyotanguliza tahadhari mbele na kubeza kumtanguliza Mungu Kama tulivyofanya sisi, kwenye mataifa hayo wamekufa watu wengi sana kwa maelfu na wanaendelea kufa pamoja na tahadhari zao za kuvas barakoa na kufanya lockdown!! Huo ni ukweli ambao hauwezi kukanushwa! Linganisha Marekani na Tanzania Kisha ulete jibu, linganisha Uingereza na Tanzania Kisha ulete jibu!! Ukweli uko wazi kuwa barakoa na lockdown hazijaweza kuwasaidia.
Halafu amesema hata tukisema watu wavae barakoa wangapi wanamudu kuvaa barakoa na kubadilisha barakoa kila baada ya masaa manne? Maana kila baada ya masaa 4 hizi barakoa Zina expire!!
Serikali, kupitia Wizara husika, hutoa miongozo ya jinsi ya kujikinga na maambukizi au hatua za kufuata endapo utakuwa umeambukizwa. Kinachofuata ni mtu mmoja, familia, kikundi au jumuia kutekeleza/kufuata miongozo hiyo.Nadhani hili linapotosha maana nzima ya uongozi, ikifika kipindi kila mtu aamue basi hakuna umuhimu tena wa kuwa na kiongozi ambaye ni jukumu lake kulinda wananchi kwa sera bora na kulinda taifa, ukiachia kila mtu kivyake basi isiwe katika hili hata na mengine ya kuamua kuandamana au kutoandamana kila mtu shauri yake, ukaimua kukimbia speed 100 au 50 juu yako utaona lipi bora kwako. Hakuna uongozi wa namna hiyo kuna mawili tu black and white, mambo ya shaurieni yenu kesho kitakuja kipindupindu tutasema shauri yako ukitaka kufanya usafi au hutaki juu yako japo usafi ni bora. Kiongozi ni dira kauli yako ndio mwelekeo...