Mromboo JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 2,966 Reaction score 6,593 Feb 16, 2021 #101 Mamndenyi said: Acha awasukume, Yule mama wa elimu kachoka acha. Na bado. Ugonjwa tujikinge wenyewe haki hamna namna. Click to expand... Nayeye kachoka tena Mamndenyi ?
Mamndenyi said: Acha awasukume, Yule mama wa elimu kachoka acha. Na bado. Ugonjwa tujikinge wenyewe haki hamna namna. Click to expand... Nayeye kachoka tena Mamndenyi ?
M MANILABHONA JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 462 Reaction score 350 Feb 22, 2021 #102 peno hasegawa said: Unataka kugusa Nyati sehemu za siri sasa Click to expand... Ukiona hivyo ujue watu wamekuchoka jirekebishe vinginevyo watakurekebisha wao
peno hasegawa said: Unataka kugusa Nyati sehemu za siri sasa Click to expand... Ukiona hivyo ujue watu wamekuchoka jirekebishe vinginevyo watakurekebisha wao
fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,617 Reaction score 8,244 Feb 22, 2021 #103 johnthebaptist said: Rais Magufuli amesema kuwa Rais ni kazi ngumu sana kwa sababu wewe unaweza kupanga mipango hii kumbe wenzako nao wana mipango mingine.... Click to expand... Aache vitisho
johnthebaptist said: Rais Magufuli amesema kuwa Rais ni kazi ngumu sana kwa sababu wewe unaweza kupanga mipango hii kumbe wenzako nao wana mipango mingine.... Click to expand... Aache vitisho
Said Cosmetics JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 2,001 Reaction score 1,591 Feb 22, 2021 #104 kichomiz said: Kawaida ya Kobe ni kusingizia mchanga kuwa unamchelewesha,na hata akifika sehemu isio na mchanga atasingizia kuwa kwa sababu hajavaa viatu Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kichomiz said: Kawaida ya Kobe ni kusingizia mchanga kuwa unamchelewesha,na hata akifika sehemu isio na mchanga atasingizia kuwa kwa sababu hajavaa viatu Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]