Rais Magufuli, watu wanataka kurudi Misri Kanaani mbali sana

nimekupa facts kukupinga,pinga hizo facts na wewe,
Nimesema kwamba baadhi ya rambi rambi ufanya kwa kulazimisha zijenge miundo mbinu ambayo ni jukumu la serikali je ni uongo?
 
Nimesema kwamba baadhi ya rambi rambi ufanya kwa kulazimisha zijenge miundo mbinu ambayo ni jukumu la serikali je ni uongo?
hutaki watu wapate hospitali au shule?Kufa kufaana nchi ni yetu sote hata ukiwagawia wagawane hazitawasaidia,lakini wajengee hospitali itadumu miaka 100,halafu pesa ambazo serikali ilikua inafikiria kuwatengea zinaelekezwa kwa watanzania wengine
 
Serikali isitegeshee majanga kupata hela ya kujengaea
 
Maisha yasinge kuwa tena kama ya wakati wa Kikwete wakati huu. Tungekuwa tuna chinjana wenyewe kwa wenyewe kama kuku. Matajiri na ambao ndiyo wasababishaji wa chaos, wangekuwa wamesha tukimbia. Tanzania ingewa sawa na Jehanam. Usimkufuru Mungu mkuu!
 
nimekupa facts kukupinga,pinga hizo facts na wewe,
Facts ni hizo data za kupika za serekali? kweli unaweza kuja hapa na kusema serekali imejenga vituo vya afya 72 tuamini, huku kila siku serekali inasema tena rais anatamka kwa mdomo wake kuna viwanda 3,000+ hapo pwani wakati ni uongo wa wazi? Hiyo idadi ngoja mkawaambie watu wa vijijini hao ndio hawajui lolote.
 
Huu uzi umenitoa machozi sijui kwa nini.!
 
Kama misri tulikula kunywa na kusaza, in bora turudi tu yupo musa original yupo Belgium atakuja kututoa misri kwa kufuata maagizo ya mungu, Huyo musa feki tumemshtukia
Kumbe
 
Viwanda hivo nami sijaviona
 
Haaahaaa.....and there is no turning back when the journey starts....Kaanani inatuhusu
 
kwa miaka mitatu pekee Magufuli kajenga hospitali za wilaya na rufaa 72,kulinganisha na toka uhuru 1961 mpaka 2015,zilijengwa hospitali 60 tu.Kupanga ni kuchagua
Tutajie majina ya hizo hospitali na je zina dawa na wahudumu wa kutosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…