YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
- Thread starter
- #21
Magufuli wakati huo hakuwa Hakuwa na maamuzi yeye alikuwa subordinateAir Tanzania ilikufa ikiwa na ndege 13 wakati yeye akiwa Waziri wa Uchukuzi kwa hiyo lilikufa kwababu ya uongozi wake mbaya. Kujaribu kurekabisha udhaifu wake akaanzisha upya Shirika hilo lakini likafa kabla hata halijaanza huku , madege na mabawa yao yakiwa yamepark uwanjani. Usafiri wa Treni Dar-Tanga-Moshi-Arusha ulisita wakati akiwa Waziri wa Uchukuzi.
Ni sawa na kumlaumu mfagizi wa ofisi kwa kampuni kufa kisa ilikufa wakati yeye akiwepo ofisini!!!