Rais Magufulli hawazii tena kuleta maendeleo ya Nchi ya Tanzania

Personally naomba nikupongeze kwa makala hii nzuri,sehemu kubwa ya uliyoandika ni ukweli ila naamini akiamua kubadili uelekeo anaweza ila ki uhalisia na jinsi mambo yalipofikia atahitaji msaada mkubwa sana ili afanikiwe
kwanza inahitajika mapinduzi ya fikra zake aweze kutambua wengine kama wenye mawazo chanya pia, aelewe kwamba huwezi kuendesha taasisi kubwa bila mchango wa mawazo ya wengine sembuse nchi ambayo ina taasisi kibao
 
Mengi aliyofanya Magufuli hayamsaidii mtu wa chini au mnyonge

Asilimia 99 ya yote afanyayo hayawasaidiii watu bali yeye ili atawale tena na tena

Hizi Ndege wapandaji ni chini ya asilimia 1 ya Watanzania
SGR hao watu wanyonge hawataiweza bei yake
Flyover itasave Dar tu
 
Huyu mpiga kelelee tuu..
Namshauri ajipange vema sababu bado miaka 6
comred kwanini uongelei mwaka mmoja kumaliza ngwe ya awamu ya kwanza umempitisha moja kwa moja mpaka 2026
 
Umeongea ukweli mkuu, inauma sana.
 
Ila ukifikiria kwa makini unaweza dhani kuwa alliens walitubadilishia wakatuachia rais clone. Yule mtumbua majibu wa miez 6 ya mwanzoni si huyu. Kwanza alikua na sapoti ya kila mtanzania hakuhitaji kupambwa na wabunge wala kina musiba
 
Kinachomsubua jiwe ni unafiki, Visasi, ubinafsi na kufanya mambo kwa miemko. Kwa mfano hawezi kuwa na ajenda ya Tanzania ya viwanda alafu unamteua waziri Bashungwa Ambaye tangu awepo chini ya jua hajawahi kuuza hata Karanga.
 
Usishangae naye anamtengua
 
jamaa yangu anaki genge cha bidhaa mchanganyiko, kwa mfano kwa siku akiuza mauzo ya 50,000 akienda kununua mzigo arudishie alivyouza anabaki na faida bukutat(3,000)
 
jamaa yangu anaki genge cha bidhaa mchanganyiko, kwa mfano kwa siku akiuza mauzo ya 50,000 akienda kununua mzigo arudishie alivyouza anabaki na faida bukutat(3,000)
Watanzania mnapita kwenye kipindi cha uchumi, somo hili ni zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…