brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 1,034
- 1,638
beat nililelile sema mpigaji kaongeza bezi
beat nililelile sema mpigaji kaongeza bezi
Mnbritanicca, Ubaguzi, ukabila, ukanda, uteuzi mbovu, vaunting, arrogance, and extravagance shall end when the man is gone.
Aende sio?Ndio maana tunasema aende tu.
NamNeno Jipu lilianzia pale ofisi ndogo ya Chama, Lumumba, mara baada ya uchaguzi kuisha na yeye kutangazwa mshindi.
Great thinker [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
AlizinguaNa kweli
Mwanzo niliposoma, nilijiuliza hivi ndiyo huyu huyu britanicca, mshabiki kindaki ndaki wa Jiwe, ndiye aliyezishusha nondo hizi??
Na bado, watanzania wote tutafika mahali kumpinga huyu Jiwe kwa ngivu zote, kutokana na siasa zake za visasi, kuminya demokrasia, kulitumia Bunge ambalo lina wanaccm wengi kwa manufaa yake binafsi,kufanya double standard katika maumuzi yake, kuongeza umaskini kwa watanzania walio wengi, etc
Britanicca ni DUME LA MBEGU! An irode dukeAsee... Kwanza nataka kujua jinsia ya BRITANICA... samahani sana mchango wangu utakuja baadae kidogo maana nko zamu ya usiku leo na nimezuga kidogo hadi tatu usiku..
Nambritanicca,
Kaka wewe ni bingwa wa kuyanyambua mambo. Kinagaubaga umeeleza yote kiundani na kwa kutoa mifano. Si mchezo!!!
👊🏾Britannica, you have proven that "THE GREAT THINKERS" are still alive! Waiting for more!!!
😁😁
Surenchi inaendeshwa kwa kufuata Mkulu anapendezwa na nini akilini mwake badala ya nchi inahitaji nini kwa ujumla wake!
✍🏻Mkuu Britanica nadhani hii ndo makala iliokufanya ustaafu siasa na kutofika tanzania hadi 2026 december!!
👊🏾Una akili sana wewe mtu..