Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,277
Mtu Inafika mahali unajiuliza tumekubali Vipi kuongozwa na ng'ombe kama wanavyoSema Zanzibar
Roho ya kiongozi huwaingia watu wake. Kikwete alikuwa na roho ya kupenda starehe, Watanzania tukala sana bata.
Magufűli ana roho ya umasikini, umasikini umetamalaki nchi nzima
Tuheshimiane , unafiki sipendi, Hakuna sehemu wanamchukia Magu km Dar, labda Kanda ya ziwa tu. yeye anajua hivyo ndiyo maana anawaburuza hovyo mpaka kuwateka! Pengo alimpendekeza achukue Form kwani wewe ulitaka nani ampendekeze?aan wale wale waliomfanya Magufuli kupokelewa kama mfalme . Watu wa jiji la Dar e salaam na kanda ya ziwa waliyo mlaki kwa nderemo, shangwe na vifijo. Waliamini yeye ametangulia, viwanda , kukomesha wezi na maendeleo ya watanzania vinamfuata nyuma. Mashabiki wa CCM na watanzania wa kawaida hawakujua hii ilikuwa ndoto ya kufikirika. Iliyozaliwa kwenye usingizi wa mwendawazimu.
Siyo lazima mimi niyakubali mawazo na mtazamo wako na vilevile siyo lazima wewe kukubaliana na mawazo au mtazamo wangu. Hakuna mtu ambaye yeye ni standard ya mawazo na mtazamo kwa watu wengine ila tunaweza kujifunza kutokana na mawazo au mtazamo wa wengine. Hivyo usitake kulazimisha mambo nimekuuliza vizuri tu badala ya kujenga hoja unauliza vitu vingine tofauti. Jibu swali kwa hoja siyo kwa kuuliza swali! Unless kama upeo na uwezo wako wa kujenga hoja umeisha hapo kwenye kuuliza swali!Sikujua mpaka sasa bado kuna watu wa mawazo mgando kama yako? Bado hujafumbua macho tu?
Great thinker [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Aisee yaani magufuli alifikiri kuendesha nchi ni kama mkoa wa tabora leo hii mahusiano yake na nchi za nje ni kama unga na mchele huwezi kuleta maendeleo ndani ya nyumba yako huku majirani ukiwatukana kuwa ni mabeberu,leo hii tunagundua kumbe huku mkoani anakopita na kusema tuna pesa,tuna akili ,ugonjwa wa corona umekuja kuumbua kila kitu ,kwa haraka haraka inamaana ccm yote imeoza maana leo mawaziri wanaiba mara elfu lakini wanahamishwa kutoka wizara A na kwenda B ukiharibu b unakuja c yaani kuchimba na kufukia nchi haitasonga mbele kwa chama kama hiki