britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
- Thread starter
- #221
KumbeBungeni amewaachia Kibajaj, Musukuma na kakijana ka kombani kuwa wasemaji wakuu na wale wasomi lukuki kupiga vigelegele.
KumbeBungeni amewaachia Kibajaj, Musukuma na kakijana ka kombani kuwa wasemaji wakuu na wale wasomi lukuki kupiga vigelegele.
Pumba nyingine hii et wote tulikuwa matajiri chizi kweli wwKipindi cha JK wote tulikuwa matajiri. Sasa hali ya uchumi ni mbaya mno, mahari unapangiwa million moja, lakini wakwe wanasema baba jipigepige hata elfu hamsini tunapokea
Thibitisha mkuuHapo kwenye upendeleo wa uteuzi umeongea la msingi sana.
Ni makosa kuwasideline watu wa Taifa lako lile lile kwa sababu za UDINI, UKABILA, UKANDA etc. Nchi hii huwezi kuwa raisi wa dini fulani au kabila fulani au kanda fulani halafu ukadhani eti kwa kulipa privilege kundi moja dhidi ya jingine basi hilo ulilolipendelea litaleta maendeleo kwa niaba ya wote!. Hilo haliwezekani!
Kweli kamanda! Bongo za watu wa CCM zimechoka ndo maana akina Tundu waliona wachukue Bongo za akina LOWASA na SUMAYE na Nyalandu ambazo ni safi na MPYA kabisa! na sasa hivi tunavizia Bongo saaaaaaaafi za akina Membe na Nape.Unamtaka Makongoro?
Bongo za watu wa CCM zimechoka kuongoza hii nchi, wanachowaza ni kula tu. Na ndiyo maana kina Bashite wanaikimbiza nchi wanavyotaka.
Tunahitaji mapinduzi ya jumla akili za CCM zipumzike ziingie fikra mpya.
CHAMA CHAKO CHA CCM NI KANSA INAYOITAFUNA TANZANIA.
Hahaha baada ya kutikisa vichwa ..Hamad wakaanza kuambiwa kuwa wastahafu wana washwa washwandiyo ila lilipata umaarufu huko bungeni na akina mkapa wakitikisa vichwa
si vema kumtaja taja hapa akaanza kusakamwa, japo tumeshaingia mtego ambao utatuumiza sijui kama jamaa atatoka hata hiyo 2020, hapa ni mpaka 2025 na usishangae anatuachia wa kwake
Kabisa ...Jamaa alipendwa Ghafla. ..kumbe ni chui mwenye ngozi ya kondoo. .Mwaka wa 4 huu sasa taifa limegubikwa na Matukio ya aibu ya utekaji na kupigwa risasi baadhi ya watu akiwemo mwana siasa lissu ..... Mungu hurumia hili taifaIla ukifikiria kwa makini unaweza dhani kuwa alliens walitubadilishia wakatuachia rais clone. Yule mtumbua majibu wa miez 6 ya mwanzoni si huyu. Kwanza alikua na sapoti ya kila mtanzania hakuhitaji kupambwa na wabunge wala kina musiba
Watu wamepatwa na bumbuwaziWatu hawaamin wanachokiona ..
uongozi ni kipaji, jiwe sio kiongozi ni mtendaji ila kwenye urais sifuri hamna kitu hata angeongezewa miaka 20 hawezi leta maendeleo mbaya zaidi anajifanya anajua kila kitu na hataki kusikiliza ushauri, na hii ndio sifa kuu ya mtu mpumbavu,hata uwaziri hakutakiwa kupewa,labda angepewa unaibu waziri
Kumbeana walinzi wangapi huyu jamaa? huyu dogo haonekani siku huzi ona nyuma yake!
Hii itamfanya auawe kirahisi wengi watamjua
MhRoho ya kiongozi huwaingia watu wake. Kikwete alikuwa na roho ya kupenda starehe, Watanzania tukala sana bata.
Magufűli ana roho ya umasikini, umasikini umetamalaki nchi nzima
Wewe ni m-ethiopia?Nimekuelewa sana mkuu! Watz ni wavivu mno, wao wanamtegemea selikali ije iwaambie njoo hapa ufanye hiki.