Rais Magufulli hawazii tena kuleta maendeleo ya Nchi ya Tanzania

Rais Magufulli hawazii tena kuleta maendeleo ya Nchi ya Tanzania

britanicca,
Binafsi siamini kama Nagufuli huyu ambaye ni rais wa JMT ni Magufuli yule aliyekuwa waziri wa ujenzi ambaye kila mtu alimkubali,I think ccm walituletea photocopy and not the real Magufuli na kama ni yeye kweli basi I am sorry for him,nadhani Kuna sehemu alipotea njia na kusha kupoteza mwelekeo
 
Hakika ndo huo siyo Magufuli waziri Wa Ujenzi
 
Ni yeye yuleyule. Hamkutaka kusikia la mtu, leo mmeorojekaaaa!!!!!
Kubalini matokeo na mtuondolee kisulisuli hiki.
Binafsi siamini kama Nagufuli huyu ambaye ni rais wa JMT ni Magufuli yule aliyekuwa waziri wa ujenzi ambaye kila mtu alimkubali,I think ccm walituletea photocopy and not the real Magufuli na kama ni yeye kweli basi I am sorry for him,nadhani Kuna sehemu alipotea njia na kusha kupoteza mwelekeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni yeye yuleyule. Hamkutaka kusikia la mtu, leo mmeorojekaaaa!!!!!
Kubalini matokeo na mtuondolee kisulisuli hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli yule aliyekuwa waziri wa ujenzi alikuwa anakubalika kwa kila mtu.alikuwa mr. hapa kazi tu.Huyu Magufuli wa leo Mr. hapa siasa tu no way anaweza kuwa yule aliyekuwa waziri wa ujenzi.No way
 
Akili au hisia hivi vyote vina nafasi katika mtu.

Ni vigumu hisia kupambanua akili. Suala la uchumi linategemea kwanza mfumo.

Kimsingi mfumo una chaonzo chake katika familia.

Suala la kujiuliza:mfumo wa familia zetu ukoje?

Kwa mfumo wa familia zetu, suala la uchumi linawezekana?

Ni vigumu Tanzania kupata maendeleo kwa mfumo huu tulionao kuanzia kwenye familia, vyama vya siasa mpaka kwenye serikali.

Kinachofanyika ukiacha akili ukatumia hisia utaona ni maendeleo.

Kuhusu viongozi na raia: viongozi wanaongoza nchi zetu ama hawajui jamii yao, mifumo yake na ya dunia. Au wanajua mifumo ya jamii yao na ya dunia, lakini wanatekeleza dhamira zao.

Raia vivyo hivyo, kwa kutokuwa na uelewa na elimu ya mambo hawawezi kujua yapi ni maendeleo na yapi sio maendeleo!

Kwa sababu raia hawana uelewa na elimu ya mambo, wanadanganywa kuwa kufikia au kupata maendeleo lazima muumie wengine wanufaike. Mawazo potofu kabisa!
 
Nchi imekuwa ya wanyang'anyi wa Kanda moja huku wengine tukiyengwa katika maendeleo ya nchi yetu wenyewe.
Sisi wa Singida tunaambiwa jengeni airport huku kwao kila akienda anasema pesa zipo, mkandarasi aanze kazi Mara moja.
Wabunge wetu wanapigwa risasi, na watu wasiojulikana na hasemi kitu. Teuzi zote kwa ndugu zake tu. HATUFAI
 
Watu wetu wanaangamia kwa kukosa elimu,wanawadanganya kwa ngonjera za Tanzania ya viwanda,SGR,Stiegler,Bombardier, Airbus, Boeing,Mfugale,lami nk.Maendeleo yetu yanategemea hivyo vitu?Ni kipaumbele cha Watanzania?
Na bado ! Mtakuja sana kutubu humu wenyewe kudadeki ! tuliwaambia , Wanafiki wakubwa nyie !
N
 
Tatizo ni Wananchi walio wengi hawajui ni sera zipi za uchumi na siasa tunatakiwa tuzifuate.Kama ni ujamaa unaopinga ubepari ni vyema ijulikane kama ni siasa ya chama kimoja pawepo uwazi badala ya kutumia nguvu nyingi zisizotakiwa kuvuruga mfumo huo.
 
Magufuli alifikiri akiwa rais angeweza kufanya maajabu na kuwashinda watangulizi wake wote ili baadaye asifiwe.

Hakujua kuwa kwa nchi za kiafrika kuwa na rasilimali nyingi za asili pekee sio kigezo cha kuendelea. Hakujua kuwa nchi kama Zimbabwe pia wana rasilimali nyingi vile vile lkn wamebakia tu kuwa wachoma mahindi kama sisi.

Magufuli hakuwa na exposure yoyote ya mambo ya kimataifa ambayo ingemfanya atambue kuwa uchumi wa dunia unatawaliwa na nchi chache tu zilizoendelea, ona hakujua hata Gaddafi na Saddam walikuwa viongozi wa mataifa gani.... Very pathetic indeed.

Kwa mazingira ya sasa, bila kudanganyana, hakuna chochote kile atakachofanya ili kuokoa jahazi la uchumi, ila atakuwa tu mtazamaji sawa na wananchi anaowatawala kwa mkono wa chuma.

Yeye na chama chake cha ccm hawana jipya watakuwa tu kama Mnangagwa na Zanu PF kule Zimbabwe, watabaki kuhaha tu kupiga kelele ili wananchi wawaone kuwa wanawapigania lkn hakutakuwa na matokeo yoyote chanya watakayoleta.
 
Back
Top Bottom