Rais Magufulli hawazii tena kuleta maendeleo ya Nchi ya Tanzania

Rais Magufulli hawazii tena kuleta maendeleo ya Nchi ya Tanzania

Utawasikia hawa wapumbavu na wahuni wa maccm, “Tuna desturi yetu ya kuachiana awamu mbili madarakani.”

Mtu awamu moja imemshinda kaharibu kila kona na uchumi alioukuta ukiwa una ahueni kauporomosha. Mtu kama huyu unampaje tena miaka mitano kama si uwendawazimu!?

Wenye kuweka maslahi ya nchi mbele hawawezi kamwe kutaka mtu kama huyu kuendelea kuwepo madarakani bali wezi, wahuni na mafisadi wa maccm.

Ndio maana tunasema aende tu.
 
[QUOTE="tindo, yani Mkuu na mimi nakazia kwenye hoja yako. Huwezi kusema watu hawafanyi kazi wakati hakuna kazi waliyopewa wakaishindwa. Tuone nafasi nyingi za kazi sekta binafsi na serikalini ziwe za muda au kudumu halafu watu washindwe kufanya kazi, hapo sawa lakini hamna kazi halafu unamwambia mtu mvivu hiyo siyo sawa hata kidogo. Na mtu anayesema hivyo kwa kuwa yeye yupo kwenye kitengo ngoja awe nje ya mfumo halafu akae na taaluma yake akose nafasi ya kazi halafu mtu amwambie mvivu aone maumivu yake.
 
Asante sana, japo unakiri kuchoka kuandika lakini umejitahidi sana kutupitisha kwenye safari ndefu na ngumu ya awamu ya tano! Sasa tuombe muujiza andiko lako liwe muarobaini wa matatizo yetu maana sio siri bila kubadili tabia na mienenendo, Yajayo Yanatatanisha!


britanicca,
 
Fuatilia Anachokifanya Alber Msando kwa wanafunzi wa elimu ya juu walokosa mikopo
Elimu bure ipo katika sera ya elimu na mafuzo ya (2014)
Na utekelezaji ambao almost nchi Africa zinafanya mpaka Sasa.
kt the irreplaceable,
 
Lazma ukubali kuwa magufuri jembe wewe pga kelele tutafka,,nchi yoyote suala maendeleo lazma upte kipindi kigumu,,kipind hata england imepta ndo imepata mafanikio.Watanzania mnataka matokeo bila kumia,jpm piga kazi wenye iman tutafka
 
Bungeni amewaachia Kibajaj, Musukuma na kakijana ka kombani kuwa wasemaji wakuu na wale wasomi lukuki kupiga vigelegele.
 
Back
Top Bottom