Rais, Mama Samia ni kweli tuna utaalamu na wataalamu wa kisayansi kujiridhisha kama chanjo za corona zinafaa au hazifai?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Simply hatuna wataalamu wa kubaini kama chanjo inafaa au haifai kwetu! Haya mambo siyo rahisi kama wanavyokuaminisha. Hatuna Investigators brochure (IB) za hizo chanjo, then how do you judge the safety of an investigational product? (sidhani kama J&J, Moderna, Pfizer utawalazimisha wakupe hizo IB zao)
Do we have national competent authorities with the requisite expertise to make a final word on these vaccines' safety?
Wataalamu may be wanaweza kuwepo, lakini Je wana "nyenzo" za kubaini kama chanjo zinafaa? Unaanzia wapi kusema kuwa haifai au inafaa? This is hard science ambayo haina ubabaishaji....
Tuanze sasa ku invest katika hizi hard sciences, say Muhimbili kuwa na vaccinology dept ambayo itakuwa na ubia na makampuni makubwa ya vaccines and the like!
 
Kujiridhisha kwenye jambo ni hata kwa kuuliza wengine inatosha. Si lazima kihangaika mwenyewe tu kuijua njia.

Kumbuka maneno matupu hayakuwahi kuvunja mfupa. Kwani mama na JPM si ni kitu kimoja?

Mdogo mdogo tutafika tu.
 
Kujiridhisha kwenye jambo ni hata kwa kuuliza wengine inatosha
Uko sahihi kabisa. Swali, unamuuliza nani kujiridhisha? Take note: Lazima unayemuuliza awe ni authority katika hiyo field...
 
Sidhani kama Kujua ubora wa kitu inahitaji uwe mbabe wa eneo husika. Kwamba uanze from the scratch. Kivumbi ni kukitengeneza hicho kitu.
 
Mkuu hii ni siasa kuwafurahisha hasa wale wenye mawazo ya kihafidhina. Anayeulizwa hapa ni WHO ambaye aghalabu msimamo wake unajulikana. Tambua jibu linakuwa hivi:

"Hakuna dawa au chanjo isiyo na madhara. Ila hatari ya madhara ya chanjo ya Corona ni ndogo mno kuliko faida yake."

Hapo wanaotaka chanjo na wasiotaka chanjo watakuwa wamepatiwa njia ya kujitoa kimasomaso.

Usisahau tuna level tofauti sana za elimu na uelewa. Kuongoza kundi disjointed kama hilo, hekima na lugha laini ya mama ni muhimu sana.

"Hakuna dawa au chanjo isiyo na madhara. Ila hatari ya madhara ya chanjo ya Corona ni ndogo mno kuliko faida yake."
Exactly, hili ndilo jibu la WHO, an authority! Hata maji yana madhara ukiyanywa mengi sana at a time hivyo you have to abide by the regulations from authority

What Happens When You Drink Too Much Water?​

When you drink too much water, you may experience water poisoning, intoxication, or a disruption of brain function. This happens when there's too much water in the cells (including brain cells), causing them to swell. When the cells in the brain swell they cause pressure in the brain. You may start experiencing things like confusion, drowsiness, and headaches. If this pressure increases it could cause conditions like hypertension (High Blood Pressure) and bradycardia (Low Heart Rate).
 
Kwa nini unadhani kudunga chanjo ya korona ni sawa na to drink too much water?

Overdose of chanjo = to drink too much water.
normal dose of chanjo = to drink recommended amount of water.

Sivyo?
 
Nakuunga mkono mkuu mleta maada.
Hatuna wataalamu bobezi hasa wa kudeal na maradhi ya mlipuko kwa ghafla, vifaa hatuna, chanzo hasa cha tatizo hatujui sasa binafsi na Mimi najiuliza hao washauri ni washauri wa namna gani? Kua uyaone
 
Simply hatuna wataalamu wa kubaini kama chanjo inafaa au haifai kwetu! Haya mambo siyo rahisi kama wanavyokuaminisha. Hatuna Investigators brochure (IB) za hizo chanjo, then how do you judge the safety of an investigational product? (sidhani kama J&J, Moderna, Pfizer utawalazimisha wakupe hizo IB zao)
Do we have national competent authorities with the requisite expertise to make a final word on these vaccines' safety?
Wataalamu may be wanaweza kuwepo, lakini Je wana "nyenzo" za kubaini kama chanjo zinafaa? Unaanzia wapi kusema kuwa haifai au inafaa? This is hard science ambayo haina ubabaishaji....
Tuanze sasa ku invest katika hizi hard sciences, say Muhimbili kuwa na vaccinology dept ambayo itakuwa na ubia na makampuni makubwa ya vaccines and the like!
Wataalamu waliopitia chanjo zilizopo walitoka bavicha??
 
Kwa nini unadhani kudunga chanjo ya korona ni sawa na to drink too much water?

Overdose of chanjo = to drink too much water.
normal dose of chanjo = to drink recommended amount of water.

Sivyo?

Mama kazi anayo kuvusha watu wenye uelewa tofauti 😂😂😂😂!

Kwamba wapi na nani kasema:

" ...... kudunga chanjo ya korona ni sawa na to drink too much water?"

Itoshe kusema "Hiiiiii bagosha!"
 
Simply hatuna wataalamu wa kubaini kama chanjo inafaa au haifai kwetu! Haya mambo siyo rahisi kama wanavyokuaminisha. Hatuna Investigators brochure (IB) za hizo chanjo, then how do you judge the safety of an investigational product? (sidhani kama J&J, Moderna, Pfizer utawalazimisha wakupe hizo IB zao)
Do we have national competent authorities with the requisite expertise to make a final word on these vaccines' safety?
Wataalamu may be wanaweza kuwepo, lakini Je wana "nyenzo" za kubaini kama chanjo zinafaa? Unaanzia wapi kusema kuwa haifai au inafaa? This is hard science ambayo haina ubabaishaji....
Tuanze sasa ku invest katika hizi hard sciences, say Muhimbili kuwa na vaccinology dept ambayo itakuwa na ubia na makampuni makubwa ya vaccines and the like!
Hapo mwishoni umetupia bonge la point/solution la kibabe kinoma, shida nature ya decision/policy makers wetu uwezo wao ni mdogo sana

Hata CAG Assad alilithibitisha hili kwa kusema 60% (more than a half) ya walioko kwenye system ni incompetent.
 
Mimi nilichoma mwezi wa 4. Nilichoma kwenye saa 3 na kama dakika 20 asubuhi. Nilivyomaliza nikaendelea na shuhuli zangu.ilivyofika saa 1 na nusu usiku hapo niliizima side effect. Nilianza kutetemeka. Mwili ukauma. Homa si homa nilijaribu kula appetite nikawa sina.usiku kucha mwili ulikuwa uko ovyo ovyo (ila watalamu wanakwambia ni kawaida kwa sababu kinga yako inajaribu ku fight na kile kilichoingia mwilini ambacho ni kigeni kwao) siku ya pili
Jioni nikawa ok
 
self and non-self discrimination....
 
Hata CAG Assad alilithibitisha hili kwa kusema 60% (more than a half) ya walioko kwenye system ni incompetent.
means hata wahadhiri wa Universities zetu wako kwenye mkumbo huo ie 60% ni incompetent..............kama ni hivyo ni disaster. Hao ndio wajue kama chanjo inafaa au haifai? Never!
 
Umeongea ukweli...

Au plan ni tutaleta chache kama sample, then tutazipeleka huko huko nje kwa uhakiki...
 
..njia pekee ya kujiridhisha Kama chanjo inafaa ni kufanya clinical trial...Kwa kuwapa watu chanjo na kuangalia matokeo yake...Jambo ambalo tz hawajafanya...huwezi kujua ufanisi wa chanjo Kwa maneno ...tz siasa za kishenzi zitazidi kutuponza..Huku watu wakifa...na sasa mashehe wanajipanga kwenda macca hijja....na wao ndio wapinga chanjo wakubwa..tuone Kama hawatachanjwa....mana bila chanjo hamna safari ya hijja...
 
Sidhani kama Kujua ubora wa kitu inahitaji uwe mbabe wa eneo husika. Kwamba uanze from the scratch. Kivumbi ni kukitengeneza hicho kitu.
Uko sahihi , siyo lazima uwe mbabe, then you are informed and then you act! Mama anasema tutajiridhisha, Kwenye hard science unanzia wapi? Lazima uwe mbabe kwenye eneo husika! Kuna kuwa knowledgeable na kuwa informed..... We need to be knowledgeable in science rather than being informed.... All in all, let us act from WHO information, be informed..... to me nilivyomuelewa Mama anasema apart from such authorities, tutajiridhisha zaidi, HOW?
 
Back
Top Bottom