Rais Mgufuli Mwambie Raila Odinga Asichome KENYA

Rais Mgufuli Mwambie Raila Odinga Asichome KENYA

kwanini usimwambie Lowassa amwambie Kenyatta aache kutumia nguvu kwa protesters??
Wee wacha huo unafiki ,protestors ndio hutumia mawe,kuharibu mali na kupiga wapinzani wao? Criminal na hoodlums wanatakiwa kuonyeshwa moto ,lazima Rais Uhuru aendelee vivyo hivyo.
 
Chadema haikuibiwa kura na CCM na wala haitatokea. CCM ilishinda mchana kweupe. Acheni siasa zenu za kitoto na huyo mamvi wenu. Angalia idadi ya wabunge wa CCM na CHADEMA ndiyo urudi ufikirie. Hata hizo kura mlizopqta CHADEMA mliiba sema waliwashtukia katikati. Hakuna mtu anaweza penda Lowa wenu na kumpa NCHI. Mnapoteza muda may be mtafute mwingine na si yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuamini kuwa wewe ni Mtz zaidi kuliko wengine tukisema ni kichaa utaweza kanusha ? Mimi namtaka Lowasa na kura yangu nilimpa na sijutii hilo
Wewe unaibuka unasema hakuna MTU wa kumpa Lowasa ...
Wewe utakuwa MTU mweusi ambaye anasababisha hata sisi wengine tuonekane ni advanced chips sababu ya fikra kama zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next time you keep on insinuating over your county's post-election violence, do not associate our leaders to your losses. We will be happy to give you a hand in Diplomatic meditation talks to save piece in our East African region and not otherwise
Raila anaonekana hataki kukubali matokeo., ni.wakati sasa Rais Magufuli ambaye ni rafiki yake binafsi ajitenge na kusema hamuungi mkono tusikie

Sisi watanzania hatutaki vurugu zitokee Kenya , Aige mfano wa.Edward lowassa ambaye pamoja na ushahidi wa kuibiwa kura kuwepo na vituo vya Tallying centre vya Chadema kuvamiwa na vijana kama 100 wataalamu wa IT kuwekwa ndani bado alijizuia na..kukaa kimya pamoja na wananchi..kuwa tayari kupigania ushindi na...kuandamana kupinga Magufuli kuiba...kura .

Ni unafiki kama...yeye Lowassa hajamzuia...kutawala asimshauri huyo rafiki yake amuache Uhuru...atawale.
Kwanza Raila pia alishiriki kuibia watanzania kura mwaka 2015,..akimtuma.msaidizi wake mmoja...kuongoza timu.ya IT ILIYOKUWA.DOUBLE TREE HOTEL..na kumeletea rafiki..yake pesa za kampeni

Bora wakenya mmemuadhibu Raila . mnhetawaliwa kwa visasi kama..huko Tanzania
Pia raila ni..project ya muda...mrefu...ya kutawala afrika mashariki ya Kagame na Museveni...tayari wamekamata Congo kupitia Kabila.
TANZANIA tumeshatekwa..kupitia..huyu..ndugu yao mwaka 2015 na walitaka kutumia Raila kuteka Kenya
THE BAHIMA EMPIRE SYNDICATE
 
Back
Top Bottom