Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha utani bhana!! Kwahiyo ikiwa internet, tv na radio kuna lugha za kiloni ndo unatarajia mtu atakuwa mzuri kwenye kuongea?! Kwanza kwa uelewa wangu ingawaje Watanzania wengi wana shida kwenye kuongea Kiingereza lakini majority ni wazuri kwenye written English. Sasa hayo mavitabu ya maktaba, web pages n.k yata-improve kiingereza cha kuandika zaidi kuliko kuongea! Huko darasani unakosema wewe kwa kiasi kikubwa kinatumika Kiswa-English; you know it and I know it unless kama umesoma international school!!! Kwa level ya matumizi yetu ya Kiingereza hapa nchini ni ngumu mtu kama kuwa fluent unless kama amepitia mazingira ya matumizi ya Kiingereza cha kuongea mara kwa mara!!Mkuu,
Kama ni hivyo, basi Tanzania tusingekuwa na matatizo makubwa ya lugha ya Kiingereza maana maktaba kumejaa vitabu ktk lugha ya Malkia wa Uingereza bila ya kusahau vipindi ktk lugha ya Kiingereza ktk TV, Radio, Internet na kusomeshwa kwa lugha hiyo pia sekondari na vyuoni, sasa nini kinapelekea mapungufu hayo ktk maongezi?
Tuache visingizio, mbona huyo mfanyabiashara Mhandisi Ali Mufuruki amesoma Tanzania na Ujerumani rika la Mheshimiwa baada ya wakoloni wa Kiingereza kuondoka yupo vizuri ktk lugha ya Kiingereza na wapo wengi tu umri wa mheshimiwa wapo vizuri pia ktk Lugha ya Kiingereza na wamesoma Tanzania na Urusi medicine, engineering n.k
Hivi Tanzania nako Kuna pesa za kuwa billionaire English is essential in every field even kula tu kimasihara...Wazungu wajanja sana. ..wamewaletea lugha yao na ndiyo hii mnabishana hapa baada ya kufikiri jinsi ya kupata pesa na maendeleo. ...EHH MWENYE ENZI MUNGU TUOKOE KIZAZI HIKI ...AMEN RA