DOKEZO Rais, Mkuu wa Wilaya na OCD Lindi 'wamemuua' ANGEL KESSY Mwanafunzi wa PCB

DOKEZO Rais, Mkuu wa Wilaya na OCD Lindi 'wamemuua' ANGEL KESSY Mwanafunzi wa PCB

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
Blabla za Wasaliti na wanaharakati. Ikiwa patachunguzwa utakuta wala hajaua. Hii dhana ya 'tume huru' imemwaga sumu mbaya sana katika jamii kila mtu anajiona kijogoo.
 
Ulipopigiwa simu na kijana wako umtumie fedha ya matibabu alikwambia nini chanzo cha maradhi yake?
 
Inaumiza sana na pole sana mzazi.

Ushauri wa bure, ulipoomba msaada sio sehemu sahihi, huwezi saidika, hawawezi kubali uwatie hatiani watu uliowataja hata ingekuwaje.

Nakushauri fanya mchakato wa kuwajua wauaji wa mwanao kwa majina yao yote matatu, tumia gharama zako zote ukatafute usaidizi uwaroge wawe vichaa au wafe kbs, hapa ndio utawaweza vinginevyo na wewe watakujumumuisha. Tembea mpaka ulipe kisasi.
 
Mmh kwanza pole sana kwa kupoteza,
lakini kwenye maelezo yako nahisi haupo sawa kwa sababu ya tukio lilokupata.
Lindi, Bugando na Dar fafanua please [emoji120]
 
mkuu... mimi nakushauri muache mtoto apumzike. unaweza ukafanyika uchunguzi lakini haitobadilisha ukweli kuwa hivi sasa tunaomboleza.

hivyo ni vigumu mtu yeyote kukubali kirahisi ràhisi kupokea kifo cha mpendwa wake. ila ninacho kushauri liache hilo lipite Muda utaleta jibu...!​
Unajua kufiwa wee? Acha mzazi apiganie haki ya mwanae hata km haitoleta uhai tena.
 
Samahani mkuu, kwanza nikuulize tu kama una mtoto??
Maana nisje nikakuonea bure kumbe haujui hata uchungu wa mtoto kwa mzazi.
Hata mm Niliwaza Ntamjibu Vibaya Huyo Jamaa Anachukulia Rahisi Kiivyo
 
Intelegensia inaonyesha kijana alikuwa anaumwa, na mzazi alituma fedha kwa matibabu ya kijana, lakini yaelekea kijana fedha hizo hazikumfikia kumtibu hivyo zilipigwa juu kwa juu, - matron- anamajibu yote!
Matron ndo aanze kuhojiwa, pesa za matibabu ya mtoto zilitumika vipi, na kwann yeye hakutoa taarifa ya msiba had iwe kwa DC na OCD?
 
Hata mm Niliwaza Ntamjibu Vibaya Huyo Jamaa Anachukulia Rahisi Kiivyo
Nimeona amenijibu bale kwamba ana watoto watatu, sema nikampuuza baada ya kufukua makaburi yake.
Tatizo skuizi Jf imekua na vijana wa hovyo sana, na ndio sababu memba wengi wamebaki kua wapenzi wasomaji tu
 
Matron ndo aanze kuhojiwa, pesa za matibabu ya mtoto zilitumika vipi, na kwann yeye hakutoa taarifa ya msiba had iwe kwa DC na OCD?
Yaani kwa mtiririko wa utoaji taarifa tu, inaonyesha kuna jambo kubwa limejificha nyuma ya pazia kwenye hili tukio.
 
mkuu... mimi nakushauri muache mtoto apumzike. unaweza ukafanyika uchunguzi lakini haitobadilisha ukweli kuwa hivi sasa tunaomboleza.

hivyo ni vigumu mtu yeyote kukubali kirahisi ràhisi kupokea kifo cha mpendwa wake. ila ninacho kushauri liache hilo lipite Muda utaleta jibu...!​

Sisi waswahili bwana huo ushauri uliotoa ni ushamba na uoga atazikwa tu lakini lazima ijulikane sababu ya kifo, mkuu wa wilaya na OCD wameingiaje hapo. Kuna jambo linafichwa
 
Kwa hiyo DC wa Lindi kawa mtoa taarifa za vifo vyenye utata. Halafu najaribu kuimagine namna OCD, DC nk walivyoingia makubaliano na kumpa DC jukumu la kutoa taarifa kisha nae akakubali.

Mkuu pole sana Mungu akupe wepesi ni jambo la kuhuzunisha.
Hili nalo linazua sana maswali….
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom