Rais Mpya Ataomba Msamaha kwa Taifa – Kwa Moyo wa Toba na Upendo wa Kweli

Unaamini mtazamo wako ndio mtazamo wa kila mmoja wetu humu! kwetu sisi wengine JPM ndie rais bora kuwahi kutokea kwenye taifa hili..wewe kama ulionja joto ya Jiwe Kwa kuwa na cheti feki au dili za ujanja ujanja mjini ni wewe!

NO REFORMS NO ELECTION..!!
ISRAEL PIGA KOBAZ HAO..!!
 
Akili za nyumbu hizi Kwa hiyo unahisi kuwa na vyeti halisi tayari ushakuwa Bakhresa au Mo? Ninachojua Mimi yeye ndo alikuwa ni kielelezo cha watu wanaogushi mambo nchi hii kuanzia PhD Yake pamoja na File la afya Yake.
Halafu kipimo cha ubora WA urais wake kipo kwenye ukoo wenu jisemee wewe na siyo eti 'sisi wengine'
 
KENGE WEWE!
 
Yote mawili ila Ole wenu awe huyu alieko, 👽👽👽
 
Usitikisike utavunja sindano 😆😆😆 vumilia hii dawa ya gono sugu inauma sana
Umma wa watanzania waliokuwa wakimpenda JPM na hata umati uliojitokeza kumlilia alipofariki ni ushahidi tosha wa kukubalika kwake, achilia mbali alama alizoziweka kila Kona ya nchi hii ndani ya kipindi cha miaka mi 5 (sihitaji kuzitaja)..wewe piga kelele zako wenye akili wanakuchora tu, maana ilikuwa ni lazima mumfanyie character asassination (mumchafue) ndio angalau muweze kutawala Kwa Raha!
 
Atakufa vibaya huyuuuu !!!!!!
 
Kijana Mimi sipo kwenye siasa ila naongea uhalisia hizo project alizoanzisha hakutoa hela mfukoni mwake! Na kila Rais ana project alizozifanya Kwa mafanikio mpaka Leo anakumbukwa! Bwana Yule alikosa vitu vingi kuanzia transparency.

Ndiyo maana hata deni la taifa kipindi chake tulikuja kulijua baada ya yeye kufariki. Kufunga account za watu ukiamini matajiri wote ni wezi ...kunyang'anya Mali na uhai wa watu . Kukingia kifua wenye vyeti feki wenzake kama Makonda. Halafu unaacha watoto wa masikini wamemaliza vyuo hutengenezi mazingira ya ajira. Mdogo wangu mpaka amekua single mama bila kupata ajira.
 
Na Rais huyo atakua ni nchimbiiiiii ..
Tena sio baada ya samia..
Sema siku yeyote ....
Naomba niishie hapo
 
Ndugu yangu wew unaperson conflict na marehemu alikutumbua nin na vyeti fake, magufuli alikuwa na huruma sana japo hakucheka na mtu ambaye anamuona hataki maendeleo
 
Ndugu yangu wew unaperson conflict na marehemu alikutumbua nin na vyeti fake, magufuli alikuwa na huruma sana japo hakucheka na mtu ambaye anamuona hataki maendeleo
Asante Bakhresa ambaye Una vyeti halisi vp kampuni zako zinaendeleaje?
 
Kuomba toba hakutoshi bali tunataka viongozi waadilifu ofisi za uma. Hayo mengi yatakaa kwenye mstari yenyewe.
Hili la msingi, viongozi wengi waovu wametengeneza network za kufanya uovu kutumia nafasi zao huku wakidhibiti Kila anayeonyesha uzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…