Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #41
<br />PASCO acha kutuchakachua PASCO sie sio MANIAC kuamini uongo wako. Hapa town sie tunasubiri hatma ya CCM leo. CHADEMA iko juu sana na utaona miujiza mwaka huu. Sie tuna source maalum ww kaa na hizo za mwaka 2005.
<br />
Mpasua Jipu, pasua tuu jipu, kwa saa hizi endeleeni kuniita kila majina, mwisho wa siku, mtanielewa. Hakuna sababu ya kugombana na nduguzo kwa jambo ambalo mtakuja kupatana. Nishutumuni, nidhihakini, nitukaneni, mwisho wa siku, mtanielewa na tutapatana tuu baada ya mambo kukaa hadharani.