Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #41
<br />PASCO acha kutuchakachua PASCO sie sio MANIAC kuamini uongo wako. Hapa town sie tunasubiri hatma ya CCM leo. CHADEMA iko juu sana na utaona miujiza mwaka huu. Sie tuna source maalum ww kaa na hizo za mwaka 2005.
Ngugu hakuna uwezekano wa CCM kushinda kwa Zaidi ya 65% ... HAKUNA KABISA.Wanabodi,
Sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki yangu yuko kwenye Kitengo Cha Inteligensia cha CCM, amesema CCM imeshashinda kwa Over and Obove 80%. JK ataapishwa Ijumaa Saa 4 Asubuhi Uwanja wa Taifa!.
Naombeni msinisakame au kunifananisha na MS!.
habari ndio hiyo!.
Wanabodi,

<br />Watu kama hawa achana nao wehu ndiyo hawa
<br /><font face="Comic Sans MS"><font size="4"><font color="purple">Pasco mbona toka asubuhi ulikuwa unaleta habari moto moto....saa hii umekuwaje tena....acha utani bana....jaribu kuwa siriaz kidogo</font></font></font>
Nilikuwa nakuamini sana Pasco kwa kutuletea habari kumbe nilikuwa najidanganyika, wewe chukulia hadi sasa chadema imechukua majimbo mengi kuliko 2005 na CCM wameanguka sehemu nyingi bado unasema CCM itapata 80%, pole sana ndugu kwa upenzi.Wanabodi,
Sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki yangu yuko kwenye Kitengo Cha Inteligensia cha CCM, amesema CCM imeshashinda kwa Over and Obove 80%. JK ataapishwa Ijumaa Saa 4 Asubuhi Uwanja wa Taifa!.
Naombeni msinisakame au kunifananisha na MS!.
habari ndio hiyo!.
haya tumesikia kakojoe ukalale
ww PASCO usituletee UMANYAKI HUMU hii ni Forum ya watu wenye akili timamu. Km ww ni MANIAC wa CCM tafuta mtandao wao uwashabikie .
Safi sana kwa taarifa nzuri Mchungaji, Mungu amesikiliza kilio chetu.
Nimesema na naendelea kusema kwamba majeshi ya akiba ya CCM ni mengi na yatatumika ktk muda wanaodhani wao ni muafaka. Jamani nchi hii ni ya wananchi siyo ya viongozi.Wanabodi,