Rais mpya mwanamke wa Namibia kateua Makamu mwanamke na mawaziri 8 kati ya 14 wote ni wanawake

Ushawahi ona mwanamke anaenda vitani? Ukiacha softicated war kama ile ya mabinti wa kizayuni kushambulia Iran kwa ndege vita?
Una umri gani?..jisomee,halafu mwanamke kuwa rais,makamu wa rais, waziri kunahusiana nini na kwenda vitani?..
 
Una umri gani?..jisomee,halafu mwanamke kuwa rais,makamu wa rais, waziri kunahusiana nini na kwenda vitani?..
Ukikua utaelewa namaanisha nini? Sasa hv ishia hapo.

Siimanishi kukua mwili kama broiler, hukawii kusema una miaka 60
 
Mfano mimi leo paa nakuwa Rais wa JMTZ, hilo baraza halitokuwa na mwanamke hata mmoja, kuanzia mawaziri na manaibu wake
 
Mlitaka ateue mwanaume Ili awe anamwendea na pajoma usiku......athari zake kabendera anajizua vizuri sana
 
Walewale tu Africa will never do wonders zaidi ya matanuzi
 
Lipo vizuri, hebu chunguza lako, litakuwa limeyumba ndio maana unaona chenga yakhee
Rais na makamu wake kuwa wanawake kunahusiana nini na wanawake kwenda vitani!?..we ni bogus, marekani ana wanajeshi kibao wanawake na huenda vitani
 
Rais na makamu wake kuwa wanawake kunahusiana nini na wanawake kwenda vitani!?..we ni bogus, marekani ana wanajeshi kibao wanawake na huenda vitani
Hakuna unachojua. Nakupuuza, sisomi na sijibu tena coments za kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…