Rais mpya wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah aliishi kwa miaka 6 Dar es Salaam miaka ya 1980’s. Mwalimu Nyerere alikuwa akimuita “Mama wa SWAPO”

ongezea na RAIS wa sasa wa zimbabwe
Mnangagwa (Zimbabwe).

Museveni mpaka leo anadaiwa hela na madereva teksi wa Muhimbili aliwarusha.

Bili zake za maji na umeme alikimbia kulipa watu wakamlipia.

Yeye na Tito Okello walikuwa majirani kila siku wanafokeana hapo Upanga, wote wakaenda kuwa marais Uganda.
 
Hawa wote kina Eduardo Mondlane (Msumbiji), Robert Mugabe (Zimbabwe) Kanyama Chiume (Malawi), Frederick Chiluba (Zambia), Joseph Kabila (DRC), Yoweri Museveni (Uganda), John Garang (Sudan ya Kusini), Thabo Mbeki (Afrika ya Kusini) wameishi Tanzania.
Umemsahau Samora Mashel muongeze ameishi Mbeya na nyumba yake ipo mpaka leo pale Maforestini
 
Hawa wote kina Eduardo Mondlane (Msumbiji), Robert Mugabe (Zimbabwe) Kanyama Chiume (Malawi), Frederick Chiluba (Zambia), Joseph Kabila (DRC), Yoweri Museveni (Uganda), John Garang (Sudan ya Kusini), Thabo Mbeki (Afrika ya Kusini) wameishi Tanzania.
Nyerere alikuwa na mchango wowote kwa Kagame? Inasemekana Museveni alimtambulisha Kagame kwa Nyerere! Ni kweli mkuu?
 
Hawa wote kina Eduardo Mondlane (Msumbiji), Robert Mugabe (Zimbabwe) Kanyama Chiume (Malawi), Frederick Chiluba (Zambia), Joseph Kabila (DRC), Yoweri Museveni (Uganda), John Garang (Sudan ya Kusini), Thabo Mbeki (Afrika ya Kusini) wameishi Tanzania.
Kagame umemsahau,

Pia bila kusahau baba lao Vladimir Putin alikuwepo nchini kuwapa mafunzo na mbinu.

Che Guivara pia alikuwepo kusaidia harakati za DRC kipindi cha Zaire miaka ya 1970 lakini akakatishwa tamaa na uzembe wa Laurent Kabila akaondoka
 
Ile picha ya Putin ilikuwa fake news.

Che Guevara alipita Dar akienda DR Congo. Alikaa ubalozi wa Cuba Upanga na nyumbani kwa balozi Oysterbay.

The book to read is "Che Guevara" by Jon Lee Anderson.
 
enzi hizo akifanya kazi na generali ulimwengu ama kweli mama ukiondoa mzee chonga ,jenerali alishiriki kumpika huyu mama ....nitaumia sana endapo jenerali hatahidhuria uapisho au nisione mkono wa jenerali ukimchambua ndani ya raia mwema
Huyo mama anaweza kumpa connection kwenye utawala wake kwani generali ulimwengu ana madini mengi 😎
 
Back
Top Bottom