Mnangagwa (Zimbabwe).ongezea na RAIS wa sasa wa zimbabwe
Ndio akalelee wajukuu ikuluu😊😂Kulea wajukuu.
Umemsahau Samora Mashel muongeze ameishi Mbeya na nyumba yake ipo mpaka leo pale MaforestiniHawa wote kina Eduardo Mondlane (Msumbiji), Robert Mugabe (Zimbabwe) Kanyama Chiume (Malawi), Frederick Chiluba (Zambia), Joseph Kabila (DRC), Yoweri Museveni (Uganda), John Garang (Sudan ya Kusini), Thabo Mbeki (Afrika ya Kusini) wameishi Tanzania.
Wengi wanajiona wana haki ya kula matunda ya uhuru walioupigania.Bahati mbaya hawa "wazalendo" waliopigania uhuru ndiyo huwa mafisadi wa kufa mtu. Bila shaka ile personality ya upambanaji inawafanya pia wawe mafisadi.
Post menopausal President.Alizaliwa 29th October 1952, so ana miaka 72 sasa
Nyerere alikuwa na mchango wowote kwa Kagame? Inasemekana Museveni alimtambulisha Kagame kwa Nyerere! Ni kweli mkuu?Hawa wote kina Eduardo Mondlane (Msumbiji), Robert Mugabe (Zimbabwe) Kanyama Chiume (Malawi), Frederick Chiluba (Zambia), Joseph Kabila (DRC), Yoweri Museveni (Uganda), John Garang (Sudan ya Kusini), Thabo Mbeki (Afrika ya Kusini) wameishi Tanzania.
Kagame umemsahau,Hawa wote kina Eduardo Mondlane (Msumbiji), Robert Mugabe (Zimbabwe) Kanyama Chiume (Malawi), Frederick Chiluba (Zambia), Joseph Kabila (DRC), Yoweri Museveni (Uganda), John Garang (Sudan ya Kusini), Thabo Mbeki (Afrika ya Kusini) wameishi Tanzania.
Huu ni utovu wa nidhamu. Ni dalili ya upumbavu.Post menopausal President.
Ile picha ya Putin ilikuwa fake news.Kagame umemsahau,
Pia bila kusahau baba lao Vladimir Putin alikuwepo nchini kuwapa mafunzo na mbinu.
Che Guivara pia alikuwepo kusaidia harakati za DRC kipindi cha Zaire miaka ya 1970 lakini akakatishwa tamaa na uzembe wa Laurent Kabila akaondoka
Kwani uongo? Afu tusipabgianeHuu ni utovu wa nidhamu. Ni dalili ya upumbavu.
Siyo heshima kumzungumzia huyo mama kwa namna hiyo.Kwani uongo? Afu tusipabgiane
Bibi yako chura kiziwi asieweza hata kutembea Ikulu anafanya nini?Huyo mbibi anaenda ikulu kufanya Nini 🏃 🏃 🏃 🏃
Tumzungumziaje kama Bikra au?Siyo heshima kumzungumzia huyo mama kwa namna hiyo.
Heshima ni kitu cha bure.
Huyo mama anaweza kumpa connection kwenye utawala wake kwani generali ulimwengu ana madini mengi 😎enzi hizo akifanya kazi na generali ulimwengu ama kweli mama ukiondoa mzee chonga ,jenerali alishiriki kumpika huyu mama ....nitaumia sana endapo jenerali hatahidhuria uapisho au nisione mkono wa jenerali ukimchambua ndani ya raia mwema
Kwa umri huo kama hana matatizo ya kiafya anaweza kufanya mengi mazuri kwa nchi yake😎Alizaliwa 29th October 1952, so ana miaka 72 sasa