Rais mpya wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah aliishi kwa miaka 6 Dar es Salaam miaka ya 1980’s. Mwalimu Nyerere alikuwa akimuita “Mama wa SWAPO”

Hawa wote kina Eduardo Mondlane (Msumbiji), Robert Mugabe (Zimbabwe) Kanyama Chiume (Malawi), Frederick Chiluba (Zambia), Joseph Kabila (DRC), Yoweri Museveni (Uganda), John Garang (Sudan ya Kusini), Thabo Mbeki (Afrika ya Kusini) wameishi Tanzania.
Kwa sasa watu wanakimbilia Kenya
 
enzi hizo akifanya kazi na generali ulimwengu ama kweli mama ukiondoa mzee chonga ,jenerali alishiriki kumpika huyu mama ....nitaumia sana endapo jenerali hatahidhuria uapisho au nisione mkono wa jenerali ukimchambua ndani ya raia mwema
Jenerali Ulimwengu?
 
Kama vile ambavyo ni mama wabTaifa
 
Tujaalie umri wake, Wazee hawa na akili zao za Ukombozi wanataka kuzitumiaje katika zama za vita ya Kiuchumi?
Allah atusaidie Niko kwenye mfungo anisitiri ntaingea nikimalixa mfungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…