Ye anakosa gani?? Aliwaandalia membe, kura zenu za chuki mkazipeleka kwimgine eti mkose woteHuyu mzee ndiye katutia watanzania kaa la moto kwenye kidonda sasa hivi yeye kajituliza kimyaa! Haya Ulitaka tukukumbuke Tunakukumbuka sasa .... "Tunatamani urudi baba"