Rais mstaafu Dr. Jakaya Kikwete akiwa na wauza vitunguu

Rais mstaafu Dr. Jakaya Kikwete akiwa na wauza vitunguu

Huyu mzee ndiye katutia watanzania kaa la moto kwenye kidonda sasa hivi yeye kajituliza kimyaa! Haya Ulitaka tukukumbuke Tunakukumbuka sasa .... "Tunatamani urudi baba"
Ye anakosa gani?? Aliwaandalia membe, kura zenu za chuki mkazipeleka kwimgine eti mkose wote
 
Jk japo alikuwa na mapungufu mengi lakini haindoi dhana kwamba hakuwa mtu wa watu
 
Hongera mzee wetu. Sina neno zaidi ya kusema we Mic you.
MUNGU akulinde mzee.
 
hv tabasamu pana usoni kwa ndg yangu limeenda wapi
 
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
Maisha ya Mzee wetu wa Msoga mara baada ya kutoka Ikulu ni ya kujichanganya sana.Kama ilivyokuwa kabla ya kuingia Ikulu.Licha ya "mambo yake ya Ikulu miaka 10" lkn Mzee wa Msoga ana nyota.Ni kama nyota ya mfedhafedha,kila mtu anamkubali.

Hapa alikuwa Ruaha Mbuyuni,alipopiga one hr stop kwa ajili ya kununua vitunguu na kupiga soga na vijana wauza nyanya na vitunguu wa Ruaha Mbuyuni.

JK alikuwa njiani kutoka Iringa,Chuo Kikuu cha Mkwawa ambapo kama Chancellor,alikwenda kuhudhuria mahafali ya chuo hucho.

Unakumbukwa sana mzee,sasa hata mshahara ukitoka,watu wanapamba meza na soda na maji,maji ya mende yamekuwa adimu sana...Mzee JK kila la kheri huko uliko.
 
Nikiangali hizi picha namkumbuka Obama alivyokuwa akipiga picha za utani Ikulu........

Kikwete pamoja na kuendeleza mfumo Wa kifisadi ulioasisiwa na Ben ....

Bado kikwete ni mtu Mwenye Roho nzuri kwa watanzania......

Kosa alilolifanya kutuletea huyu on behalf of myself.........
 
Lowasa alikuwa mtu mzuri akatuletea jk..jk akawa mtu mzuri akatuletea membe..sisi kwa kiburi chetu tukapiga kura ili membe akose kisa Rafiki yetu mamvi alikosa..next time membe tunampa nchi ili kurudisha enzi za jk..au mnasemaje mazee?? Like za kutosha tafadhali
 
Sometimes husukumwa na huruma kwa ugumu wa maisha ya wananchi wao na hufanya hivyo kama mbinu tu ya kutaka kuwafariji kwa kuwaonyesha hata naye sasa anaishi maisha ya kawaida kitu ambacho si kweli.

Hata hivyo,JK ana ubinadamu kuliko Magufuli na sasa ataonekana kama lulu ingawa nae kuna mbaya aliyafanya lakini hakuumiza/hakutesa watu kimaisha kama tunavyoona leo hii.
 
Back
Top Bottom