Hivi hizi hela hawa wasanii wanazipelekaga wapi?
Huyu majuto kacheza matangazo mengi sana mana kila siku kabla ITV hawajaanza taarifa ya habari kuna matangazo yake mawili yanachezwa...plus izo movies zake
Kweli anakosa hela ya kwenda Kwa Kanjibai?
This shit sucks!