Rais mstaafu Dr. Kikwete ajitolea kumsaidia Mzee Majuto matibabu India, pia kumnunulia trekta la kilimo

Rais mstaafu Dr. Kikwete ajitolea kumsaidia Mzee Majuto matibabu India, pia kumnunulia trekta la kilimo

Hivi hizi hela hawa wasanii wanazipelekaga wapi?
Huyu majuto kacheza matangazo mengi sana mana kila siku kabla ITV hawajaanza taarifa ya habari kuna matangazo yake mawili yanachezwa...plus izo movies zake

Kweli anakosa hela ya kwenda Kwa Kanjibai?

This shit sucks!
 
Kapanda mzazi haijalishi una miaka mingapi inamaana wewe huwezi kujenga nyumba ukiwa over 70 yrs
 
Kwani Yale matangazo ya biashara ya makampuni makubwa makubwa wanafanyaga bure????? Mpaka asubirie msaada kwajili ya matibabu????

So saddening aiseeee
 
Back
Top Bottom